NIPASHE
19Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hatua hiyo inakuja baada ya Tanzania na Kenya kuondoleana vikwazo vya biashara kwenye Sekta ya Usafiri wa Anga.Alipoulizwa na gazeti hili jana kuhusu safari hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa (ATCL)...
19Jan 2024
Neema Hussein
Nipashe
Akizungumzia tukio hilo mama wa binti huyo Winfrida Amosi amesema alipigiwa simu na mume wa binti yake kuwa mwanae anaumwa tumbo hivyo wameenda hospitali ya wilaya kwaajili ya...
19Jan 2024
Marco Maduhu
Nipashe
kidato cha kwanza kuripoti shule
Taarifa hiyo imetolewa leo na Afisa Elimu ya watu wazima mkoani Shinyanga Dedan Rutazika, kwa niaba ya Afisa Elimu Mkoa huo Dafroza Ndalichako wakati akizungumza na Nipashe Digital. Amesema...
19Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kampeni hiyo inayoitwa “NMB Pesa Haachwi Mtu” ilitangazwa jana jijini Dar es Salaam na Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa benki hiyo, Filbert Mponzi, wakati akizungumza katika...
19Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wachezaji 16 kila mkoa kuchaguliwa
• Katika kuendeleza vipaji vya vijana kusaka Mabingwa Wapya Katika Soka ndani ya Safari Cup, Vijana 22 wenye vipaji, watachaguliwa kutoka mikoa hii ili kujenga cream dream team ya Safari...
18Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Pongezi hizo zimetolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria Dk. Joseph Mhagama wakati wa wasilisho lililohusu namna Serikali ilivyojipanga katika...
18Jan 2024
Marco Maduhu
Nipashe
Wamebainisha hayo leo wakati wakizungumza na waandishi wa habari ambao walifika kuona daraja hilo, na kueleza adha ambayo wanaipata baada ya daraja hilo kukatika. Mmoja wa wananchi hao Joseph...
18Jan 2024
Shaban Njia
Nipashe
Amesema, hatua ya mikopo hiyo kutolewa na taasisi za kifedha imekuja baada ya kuwepo kwa malalamiko kwa baadhi ya wajasiriamali kutaka iwe inatolewa pia kwa mjasiriamali mmoja mmoja badala ya kwenye...
18Jan 2024
Shaban Njia
Nipashe
Aidha, wajasiriamali hao ni kutoka mkoani Shinyanga katika Halmashauri za Kishapu, Manispaa ya Shinyanga, Shinyanga Vijijini, Ushetu, Msalala pamoja na Manispaa ya Kahama na yataendeshwa kwa muda wa...
18Jan 2024
Nebart Msokwa
Nipashe
Wito huo ulitolewa na Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Beno Malisa wakati akikabidhi magari matatu yaliyonunuliwa na serikali kwa ajili ya jeshi hilo ili kukabiliana na uhalifu.Malisa alisema suala la...
18Jan 2024
Elizabeth John
Nipashe
Malalamiko hayo wameyatoa mbele ya Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Njombe.Kamati hiyo ikiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka ilifika kijijini hapo kwa lengo la kusikiliza kero za...
18Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Taarifa iliyotolewa leo Januari 18, 2024 na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano wa TRC, Jamila Mbarouk imeeleza sababu za kusitisha huduma hiyo ni kutokana na uharibifu wa miundombinu ya reli uliotokana na...
18Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa Benchmark 360, Ritha Paulsen, maarufu Madam Ritha, alisema mwaka huu BSS imekuwa ya tofauti kwa sababu wanawake ni...
18Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Prisons iko nafasi ya tisa kwenye msimamo wa ligi ikiwa na pointi 17 baada ya kucheza michezo 14, imeshinda minne imetoka sare tano na kupoteza mitano.Kocha wa Prisons, Hamad Ally, alisema wameamua...
18Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
...ambako wakituhumiwa kwa mashitaka manne likiwemo la kujeruhi na kutoa lugha ya matusi.Wanandoa hao ambao ni raia wa Tanzania wenye asili ya India wanaoishi Mrima – Kisutu kwenye jengo la...
18Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Mahamoud Banga, ameeleza hayo leo Januari 18, 2024 wakati akizungumza na waandishi wa habari ambapo amesema tukio hilo limetokea jana, Januari 17, 2024 asubuhi na...
18Jan 2024
Oscar Assenga
Nipashe
Dk. Nondo aliyasema hayo wakati akitoa elimu kuhusu maumivu ya mgongo yanayotokana na ukaaji mbaya kwa muda mrefu. Alisema matatizo hayo huwakumba watu mbalimbali wakiwamo watoto wa shule,...
18Jan 2024
Kulwa Mzee
Nipashe
Hukumu hiyo ya mahakama imetolewa mbele ya Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Morogoro, Hadija Kinyaka baada ya kusikiliza rufani iliyowasilishwa na Kanji, akipinga hatia na adhabu aliyopewa na...
18Jan 2024
Ashton Balaigwa
Nipashe
Hatua hiyo imechukuliwa baada ya kiongozi huyo kufanya ziara ya kushtukiza shuleni huko. Shule hiyo inachukua wanafunzi wa jamii ya wafugaji wa kimasai.Shaka alifika shuleni kuona idadi ya wanafunzi...
18Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
FIFA imetoa uamuzi huo baada ya mchezaji huyo kushinda kesi ya madai dhidi ya klabu hiyo.Mchezaji huyo raia wa Uganda alifungua kesi FIFA akidai malipo ya malimbikizo ya mishahara.Klabu hiyo...








