NIPASHE

08Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Awapongeza Rais Dk. Samia na Dk. Mwinyi kwa maono na miongozo yao kutekeleza Miradi ya kimkakati
Dk. Biteko amesema, kuelekea Kilele cha Mapinduzi ya Zanzibar, watu waliopewa dhamana ya kusimamia miradi hiyo ambayo Serikali imepeleka fedha nyingi, wafanye kazi kwa uaminifu kwani watatatoa hesabu...
08Jan 2024
Julieth Mkireri
Nipashe
Akiwa katika ziara hiyo Kunenge amewasisitiza watoto wa kike kuzingatia maadili wawapo shuleni ili waweze kufanya vizuri sawa na wanafunzi wa kiume na kuepuka kupata mimba wakiwa na umri mdogo....

Mkuu wa Mkoa wa Arusha,John Mongela,akizungumza Leo Januari 8,2024 na kundi la wazazi na walezi waliokwenda kuwaandikisha wanafunzi wa darasa la awali na la kwanza katika shule ya Msingi Murieti Darajani iliyoko Halmashauri ya Jiji la Arusha.PICHA:ALLAN ISACK.

08Jan 2024
Allan Isack
Nipashe
“Rai yangu hapa Jiji la Arusha umakini uongezeke kwa kuwa hatuwezi kuvumilia hii hasara na sijui kama mnanielewa na huo ndio ujumbe wangu,”amesema RC Mongela.Mkuu huyo wa Mkoa ameotoa...
08Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Saruji hiyo itatumika kasaidia ujenzi wa nyumba zaidi ya 101 ambazo serikali imepanga kuwajengea waathirika wa maafa hayo.Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga amesema..."Maafa ya hivi karibuni...

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Christina Mndeme akiwa katika shule ya Sekondari ya Wasichana Shinyanga.

08Jan 2024
Marco Maduhu
Nipashe
Taarifa hiyo imetolewa leo Januari 08, 2024 na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Christina Mndeme, wakati wa ziara yake ya kukagua mahudhurio ya wanafunzi ambao wamechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza...
08Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
-hawajathiriwa na tukio la maporomoko ya Hanang.RC Sendiga ametoa kauli hiyo muda mfupi baada ya kugonga kengele leo saa 12 asubuhi katika Shule ya Msingi Kateshi “A” kama ishara ya...

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama akipokea kwa niaba zawadi ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kutoka kwa Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Mhashamu Baba Askofu Dk. Fredrick Shoo, mara baada ya ibada ya Kuwekwa Wakfu Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Dayosisi ya Mufindi.

08Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge na Uratibu)  Jenista Mhagama wakati akimuwakilisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika Ibada Maalum ya kuwekwa Wakfu Askofu wa...

Waziri wa Afya wa Kenya, Wafula Nakhumicha.

08Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Waziri huyo amesema nchi imekumbwa na uhaba wa dawa hizo tangu Oktoba mwaka jana na imechukua hatua za kuhakikisha usambazaji endelevu kwa hospitali za serikali ikiwa ni pamoja na mabadiliko kutoka...

Wataalamu wakimwandaa mgonjwa kuingiza kwenye mtambo mpya na wa kisasa ambao umenunuliwa na Hospitali ya Kairuki unaoitwa High Intensity Focused Ultrasound (HIFU), ambao unatibu uvimbe bila upasuaji kwa kutumia mwangwi wa sauti.

08Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
...kuanza kutoa matibabu ya kuondoa vimbe mbalimbali bila upasuaji kwa  kutumia mtambo tiba unotumia mwangwi wa sauti (Ultrasound).Rais Samia amekuwa akifanya jitihada kubwa kuzipa vifaa...
08Jan 2024
Nipashe
Mfaransa huyo amesema kucheza na messi anakuwa na uhakika wa…
Mshindi mara nane wa tuzo ya Ballon d'Or Messi alicheza misimu miwili na Mbappe katika klabu ya PSG kabla ya kujiunga na Inter Miami kama mchezaji huru Julai 2023.Wakati wakiwa pamoja, Mbappe na...
08Jan 2024
Shaban Njia
Nipashe
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Halmashauri hiyo, Dk. Shani Josephat, amesema kuwa wawili waliogundulika na ugonjwa huo wanaendelea na matibabu katika Kituo cha Afya Mwendakulima.Dk. Josephat alisema...
06Jan 2024
Daniel Limbe
Nipashe
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita,ACP Amon Mimata, amesema kuwa jeshi hilo limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa,Swaumu Mahondola (32) ambaye ni Mkazi wa Kijiji cha Kibumba Kata ya Makurugusi wilayani...
06Jan 2024
Daniel Limbe
Nipashe
Hatua hiyo inatajwa kubadili mtazamo wa uharibifu wa misitu unaofanywa na baadhi ya wananchi kwa kupasua mbao,kuchoma mkaa,kukata miti na kufanya kilimo ndani ya hifadhi kinyume cha sheria.Meneja wa...
06Jan 2024
Daniel Limbe
Nipashe
Hatua hiyo inatajwa kubadili mtazamo wa uharibifu wa misitu unaofanywa na baadhi ya wananchi kwa kupasua mbao,kuchoma mkaa,kukata miti na kufanya kilimo ndani ya hifadhi kinyume cha sheria.Meneja wa...
06Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Aidha, amesema katika maeneo hayo ukaguzi unaofanyika ni wa kisasa ambapo vifaa vya Kielektroniki vina uwezo wa kubaini uhalifu unaoweza kujitokeza.Katambi amebainisha hayo Jana Jijini Dar es salaam...

Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mboni Mhita.

06Jan 2024
Shaban Njia
Nipashe
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mboni Mhita ameyasema hayo wakati akizungumza na vyombo vya habari juu ya kutokea kwa ugonjwa huo na kuadai taarifa ya tatizo hilo alilipata kupitia kwa mmoja wa wananchi wa...

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko.

06Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
...kwani Waasisi wa Nchi  walifanya mapinduzi hayo ili kuwa na Taifa huru ambalo kila mtu anakuwa na hadhi, kuondoa dhuluma iliyokuwepo na kufanya wananchi kuishi kwa amani na furaha. ...
06Jan 2024
Elizaberth Zaya
Nipashe
Agizo hilo limetolewa leo na Mkurugenzi Mkuu wa LATRA, Habibu Suluo baada ya kufanya ukaguzi wa kushtukiza katika stendi ya mabasi ya Magufuli pamoja na ofisi za mabasi ya kampuni hiyo ya ...

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Gilead Terry.

06Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Amesema awali Mtanzania alitakiwa kuwa na mtaji wa Takribani Milioni 250 aweze kutambulika kama muwekezaji, sasa hivi kiwango kineshushwa mpaka takribani Milioni 125. Hivyo Mtanzania yoyote mwenye...

Kaimu Mkurugenzi wa TPSF Raphael Maganga.

05Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kaimu Mkurugenzi wa TPSF Raphael Maganga, amesema hayo leo Januari 5, 2024 Jijini Mwanza katika kikao kilichoandaliwa na Waziri wa Madini Antony Mavunde kililenga kukuza uwezo wa cha watoa huduma...

Pages