NIPASHE
05Jan 2024
Vitus Audax
Nipashe
...sambamba na kufungamanisha Sekta ya Madini na sekta nyingine muhimu za kiuchumi.Aidha, amesema kuwa Wizara ya Madini kupitia Vision 2030 ya Madini ni Maisha na Utajiri inatarajia kufanya utafiti...
05Jan 2024
Neema Hussein
Nipashe
Wakizungumzia tukio hilo ndugu wa marehemu wamesema walipigiwa simu ya kifo cha ndugu yao na rafiki zake aliokua akifanya nao kazi kisha kufika hospitali aliokua akipatiwa matibabu na kuonyeshwa...
05Jan 2024
Neema Hussein
Nipashe
Rai hiyo imetolewa na Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani mkoani humo Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi Leopard Fungwa mara baada ya kufanya ukaguzi wa magari hayo.Amesema hawatasita...
05Jan 2024
Faustine Feliciane
Nipashe
Baada ya kuibuka mshindi Christina alikabidhiwa jokofu la kisasa, Televisheni, music system ya kisasa pamoja kipashia Moto vyakula.Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa zawadi hizi, Christina...
04Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Dk. Biteko amesema hayo leo Januari 4, 2024 jijini Dar es Salaam wakati akifunga Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini ulioshirikisha wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya...
04Jan 2024
Marco Maduhu
Nipashe
Zawadi hizo zimekabidhiwa leo Januari 04, 2024 na Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Johari Samizi akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Christina Mndeme kwa niaba ya Rais Samia.Samizi akizungumza wakati...
04Jan 2024
Ashton Balaigwa
Nipashe
Imesema CMA ni lazima ijitengenezee mazingira ya kuaminiwa na wananchi,wafanya kazi,waajili na wawekezaji kwa kutenda haki ambayo itaonekana kwa pande zote mbili .Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu...
04Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Katambi amethibitisha hayo Januari 3, 2023 Jijini Arusha katika Wilaya ya Longido alipofanya ziara katika mpaka wa namanga kwa ajili ya kukagua hali ya utoaji huduma kwa abiria. Amesema taarifa...
04Jan 2024
Ashton Balaigwa
Nipashe
Katibu Mkuu huyo, amesema hayo wakati akifungua Kikao kazi cha Makatibu Tawala wasaidizi Elimu mikoa na Maofisa Elimu wa Halmashauri nchini mjini MorogoroAmesema licha ya dhamira njema ya serikali ya...
04Jan 2024
Elizabeth John
Nipashe
Tukio hilo limetokea Januari 03, 2024 majira ya saa 12 asubuhi katika kitongoji cha Msete mjini hapa.Mwenyekiti wa Mtaa wa Mji Mwema, Leonard Mkupi amesema inadaiwa kuwa sababu ya mtoto huyo kuchomwa...
04Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kamanda Ng’azi ametoa onyo hilo wakati akizungumza na chombo kimoja cha Habari, ambapo pia amesema kwa magari maalumu ya kubebea wanafunzi ambayo hayajafanyiwa ukaguzi hadi kufikia wiki ijayo...
04Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Walitoa kilio chao wakati wakizungumza na Nipashe adha wanayoipata mvua iliponyesha kwa muda wa robo saa na kusababisha maji kutuama barabarani na maeneo ya biashara zao.Mmoja wa wafanyabiashara,...
04Jan 2024
Paul Mabeja
Nipashe
Kufanya mitihani, msajili awaonya...
Masenga alitoa onyo hilo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mitihani hiyo inayofanyika katika vituo saba nchini.Alisema huo utakuwa mtihani wa 21 tangu baraza hilo lilipoanza kusimamia...
04Jan 2024
Jenifer Gilla
Nipashe
Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) iliitaja mikoa ya Dar es Salaam na Zanzibar kuwa na kiwango cha juu cha joto cha nyuzi 33, ikifuatiwa na Tanga (32) na Dodoma (29).Athari...
03Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Asema Rais, Dk. Samia anafanya kazi kubwa ya kuwaunganisha watanzaia, Ataka Wananchi kuchagua viongozi bora katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Miswada mingine ambayo iliwasilishwa bungeni Novemba, mwaka jana, na wananchi kutakiwa kutoa maoni ni wa Sheria ya Tume ya Uchaguzi wa mwaka 2023 na wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya...
03Jan 2024
Maulid Mmbaga
Nipashe
Akizungumza leo mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi, Kinana amesema Rais Samia anaonyesha njia kwa kupanga, kutafuta mikakati na kuweka vipaumbele na sasa...
03Jan 2024
Renatha Msungu
Nipashe
Hayo yalisemwa na mlezi wa wajane wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Ashura Kimwaga wakati wa mkutano wa wanachama wa Chama cha Wajane wa Kata ya Nkuhungu.Kimwaga, alisema wajane wengi wamekuwa...
03Jan 2024
Paul Mabeja
Nipashe
Ahuweni hiyo inakuja baada ya kuzinduliwa kwa zahanati ikiwa na vifaa tiba vya kisasa msaada kutoka Shirika la Qatar Charity iliyoghalimu kiasi cha Shilingi milioni 100.Akizindua zahanati hiyo...
03Jan 2024
Rahma Suleiman
Nipashe
Dk. Mwinyi aliyasema hayo jana wakati akiweka jiwe la msingi katika kituo cha kisasa cha mabasi kinachojengwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) eneo la Kijangwani mjini Unguja.Alisema...
02Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Dk. Biteko amesema hayo tarehe 2 Januari 2024 wakati alipotembelea Hospitali ya San Pio iliyopo wilayani Bukombe mkoani Geita akiwa ameambatana na Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martine Shigella na...








