NIPASHE

27Dec 2023
Kulwa Mzee
Nipashe
-Kanisa la Assemblies of God Gospel Church International (AGGCI).Mahakama hiyo ilifikia uamuzi huo mbele ya Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza, Stanley Kamana baada ya mwombaji katika...
27Dec 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hata pikipiki iliyokamatwa eneo la tukio na kupelekwa Kituo cha Polisi Vikindu, nayo imeachiliwa.Usiku wa Juni 5, mwaka huu, mama huyo, mkazi wa Mtaa wa Kazole, Kata ya Vikindu, wilayani Mkuranga,...
27Dec 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Gari hilo lenye namba za usajili T120 DGW lililokuwa likiendeshwa na Malegesi Silasi limeteketea lote lakini halikusababisha athari kwa binadamu.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Wakala wa Mabasi...
27Dec 2023
Joseph Mwendapole
Nipashe
Kupitia taarifa yao kwa vyombo vya habari jana, wamiliki hao wanadai kitita kipya kilipitishwa na serikali bila kuwashirikisha, kitasababisha hospitali nyingi kufungwa kutokana na kupata hasara...

Askofu Dk. Frederick Shoo.

27Dec 2023
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Asema Ripoti ya CAG inasikitisha...
Amesema tatizo hilo limesababishwa na watu wengi kukosa hekima ya kuwa na kiasi na kujua ni nini kilicho cha muhimu zaidi katika maisha.Mifano halisi juu ya tatizo hilo, Dk. Shoo amesema inachagizwa...
26Dec 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kupitia taarifa yao kwa vyombo vya habari jana, wamiliki hao wamesema kitita hicho kilipitishwa na serikali bila kuwashirikisha na kitasababisha hospitali nyingi kufungwa kutokana na kupata hasara...
26Dec 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ukaguzi huo umefanywa leo Desemba 26, 2023 majira ya 11:00 alfajiri na Jeshi la Polisi likiongozwa na Mwanasheria Mkuu wa Kikosi cha Usalama barabarani nchini, Mrakibu Mwandamizi wa Polisi, Deus...

Kocha Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha.

26Dec 2023
Saada Akida
Nipashe
Kauli hiyo imekuja baada ya mchezo wa juzi uliopigwa Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam, kumalizika kwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya KMC FC. Benchikha alisema ana kazi kubwa ya kufanya ndani ya...
26Dec 2023
Said Hamdani
Nipashe
Hukumu hiyo imetolewa na Jaji Rose Ebrahimu wa Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara, baada ya kuridhishwa na ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka.Kabla ya kutolewa hukumu hiyo, Jaji Rose alimuuliza...
26Dec 2023
Mohab Dominick
Nipashe
Ni manusura wa maporomoko ya tope, mawe na magogo kutoka Mlima Hanang, mkoani Manyara na kuua watu 89, kujeruhi 116, Paula Neema, akisimulia kilichotokea siku hiyo akiwa na watoto wake 11 ndani ya...
26Dec 2023
Ashton Balaigwa
Nipashe
Miundombinu hiyo ni iliyoharibiwa na mafuriko yaliyotokea mwanzoni mwa Desemba mwaka huu katika maeneo mbalimbali wilayani hapa.Alitoa taarifa hiyo kwa Mkuu wa Mkoa Morogoro, Adam Malima, wakati wa...
25Dec 2023
Thobias Mwanakatwe
Nipashe
Zaina amedai kuwa serikali ya kijiji chicho, imefyeka mazao ya mahindi aliyoyapanda msimu huu katika shamba hilo kutokana na mgogoro baina yake na kijiji hicho.“Ninamuomba Rais Samia aingilie...

Nape Nnauye.

25Dec 2023
Romana Mallya
Nipashe
Kwa mujibu wa taarifa ya chuo iliyotiwa saini na Naibu Makamu Mkuu wa Chuo, Taaluma, Utafiti na Ushauri, Prof. Deus Ngaruko, ufafanuzi huo umetolewa baada ya hivi karibuni kuwapo taarifa zisizo...
25Dec 2023
Kulwa Mzee
Nipashe
Mahakama hiyo imewatia hatiani washtakiwa watatu na kumwachia huru mmoja mbele ya Jaji Elinaza Luvanda, baada ya kujiridhisha kwamba mashtaka dhidi yao yamethibitishwa.Waliotiwa hatiani mbali na...
22Dec 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Katika ibada hiyo mazishi iliyofanyika katika Kijiji cha Matomondo Waziri Mhagama ametoa pole kwa Mwenyekiti wa Halmashauri wilaya ya Songea vijijini na wafiwa wote.“Mimi kama Mbunge na Diwani...
22Dec 2023
Beatrice Shayo
Nipashe
Makonda  amemkabidihi Professor Jay kiasi  kingine cha Sh. Milioni 10 leo alipofika nyumbani kwa Profesa Jay Mbezi Jijini Dar es salaam.Kiongozi huyo amesema mchango huo mwingine ameupata...
22Dec 2023
Neema Emmanuel
Nipashe
Hayo yamebainishwa na Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dk. Albina Chuwa wakati wa kikao cha tano cha Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ambapo pamoja na shughuli za baraza, NBS...
22Dec 2023
Marco Maduhu
Nipashe
...Watu wenye ulemavu pamoja na Wazee, na kupatiwa elimu mbalimbali kwa mustakabali wa maisha yao, pamoja na kuwatakia heli ya Sikukuu ya Christimas na Mwaka mpya 2024. Mkutano huo umefanyika...

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Mwanza SACP Wilbrod Mutafungwa.

22Dec 2023
Vitus Audax
Nipashe
Pia amewataka kulisaudia jeshi hilo katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, mauaji ya kujichukulia sheria mkononi, wizi pamoja na unyang'anyi wa kutumia silaha. SACP Mutafungwa ametoa kauli...
22Dec 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ametoa kauli hiyo mapema Desemba 21 katika kikao maalum na wadau mbalimbali wa sekta ya uvuvi na kuwataka maofisa uvuvi kusimamia vyema sheria na kanuni za nchi katika sekta hiyo. Amesema uvuvi...

Pages