NIPASHE
Kaimu Meneja wa Kiwanda cha sukari cha Mkulazi ,Mhandisi Aron Mwaigage,kushoto akionyesha sukari ya awali Wajumbe wa Bodi ya wadhamini wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF)wajumbeBodi hiyo ilitembelea kiwanda hicho cha Mkulazi kinachomilikiwa na NSSF ili kujionea shughuli zake,Picha na Ashton Balaigwa,MOROGORO
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu ) Jenista Mhagama akipokea mchango wa Walimu Wakuu wa shule za Sekondari nchini kwaajili ya waathirika wa maafa ya maporomoko ya matope na mawe kutoka mlima Hanang uliowasilishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mohamed Mchengerwa kwa niaba yao.








