NIPASHE

29Dec 2023
Neema Emmanuel
Nipashe
Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Sengerema Binuru Shekidele wakati wa hafla ya kukabidhi tuzo 21 kwa Kanda mbalimbali ikiwemo wasanii bora, waandishi wa habari,wajasiliamali na...
28Dec 2023
Steven William
Nipashe
Amesema wapo wakristo wanaopokea sakramenti kanisani, lakini wanapokuwa nje ya kanisa wanajishughulisha na uganga wa kienyeji na kuabudu mizimu chini ya miti na kumsahau Mungu. Aliwataka kujenga...

KATIBU Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo Ado Shaibu.

28Dec 2023
Maulid Mmbaga
Nipashe
Ado ameyaeleza hayo leo wakati akifanyiwa mahojiano maalum, na kubainisha kuwa Zitto ametangaza kuiheshimisha katiba ya ACT, hivyo ni imani yake kwamba kiongozi huyo ataendelea kutoa mchango wake...
28Dec 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Fainali hizo za Afrika zimepangwa kuanza Januari 13 na kumalizika Februari 11 huku Tanzania ikishiriki kwa mara ya tatu fainali hizo.Akizungumza jijini Dar es Salaam, Meneja wa Huduma ya ongezeko la...

MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Jiji la Tanga, Said Majaliwa.

28Dec 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kukagua ujenzi wa shule ya sekondari ya Kiomoni ambayo inajengwa kupitia mradi wa SEQUIP amesema kuwa watumishi hao wamekiuka na kuongeza gharama za...
28Dec 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Dk. Biteko amesema hayo Leo Desemba 2023 wakati alipofanya ziara ya kukagua mradi huo wilayani Rufiji akiwa ameambatana na Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga, Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati,...
28Dec 2023
Shaban Njia
Nipashe
Amesema, sherehe za kuupokea mwaka mpya wa 2024 ni vema wakasherehekea wakiwa katika vyumba za ibada wakimuomba Mungu au majumbani mwao nasio kuendesha pikikipiki na bajaji kwa fujo au kuchoma...

Ofisa Habari wa Azam, Thabiti Zakaria (Zaka).

28Dec 2023
Saada Akida
Nipashe
Taarifa za ndani zinasema Yona amekuwa akihusishwa na Azam tangu tangu msimu uliopita kwa ajili ya kuchukua nafasi ya makipa waliopo, Abdulai Iddrisu na Ali Ahamada.Hata hivyo pia Metacha Mnata na...

ASKOFU wa Kanisa Katoliki Jimbo la Shinyanga, Mhashamu Liberatus Sangu.

28Dec 2023
Marco Maduhu
Nipashe
Amebainisha hayo leo Desemba 28, 2023 kwenye maadhimisho ya kumbukumbu ya watoto mashahidi ambao waliuawa kikatili na Mfalme Herode siku chache baada ya kuzaliwa Kristo, ibada hiyo imefanyika katika...

Simon Msuva.

28Dec 2023
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Winga huyo afunguka lolote linaweza kutokea, lakini bado...
Taarifa zilizopatikana jijini, Dar es Salaam zinasema Msuva ameshaachana na JS Kablie ya Algeria, na sasa yuko huru kujiunga na klabu nyingine.Uamuzi wa kutangaza usajili wa nyota huyo huko Zanzibar...
28Dec 2023
Jenifer Gilla
Nipashe
Mikoa iliyotajwa ni Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, Tabora, Kigoma, Katavi, Dodoma, Singida, Rukwa, Mbeya, Songwe, Njombe, Iringa na Kusini mwa Mkoa wa Morogoro.Taarifa iliyotolewa na TMA, ...
28Dec 2023
Samson Chacha
Nipashe
Imedaiwa na majirani kuwa huenda Bwanga ambaye ni maarufu mjini hapa, amefikia hatua hiyo ya kukatisha uhai kutokana na msongo wa mawazo baada ya kukimbiwa na mke na watoto.Diwani wa Nyamisangura,...
28Dec 2023
Jenifer Gilla
Nipashe
Wamesema ni lazima wawajengee watoto wao misingi ya kugombea nafasi za vyama wakiwa na umri mdogo ili zisichukuliwe na watoto wa viongozi au watu wenye umaarufu.Ushauri huo umetolewa baada ya Umoja...

Dk. Eliona Kimaro.

28Dec 2023
Romana Mallya
Nipashe
Amesema kuna haja viongozi kuandaa msingi bora kwa ajili ya maisha ya kizazi kijacho badala ya kujikita kwenye maslahi binafsi.Mchungaji Kimaro alisema hayo wakati wa mahubiri yaliyofanyika Usharika...
28Dec 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Fedha hizo kwa ajili ya bingwa  ambaye atazoa shilingi milioni 100 mshindi wa pili milioni 70, pamoja na medali za mabingwa na mshindi wa pili.Akizungumza wakati wa halfa ya kukabidhi nguo za...
27Dec 2023
Julieth Mkireri
Nipashe
Kyem ,imetoa vifaa hivyo kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa ofisi ya CCM ya Kata hiyo katika hatua ya kukamilisha msingi ambapo vifaa walivyotoa ni nondo 40,kokoto,mchanga ,mbao na misumari.Akizungumza...
27Dec 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Askofu Kassala amesema hayo katika misa ya kitaifa ya Krisimasi iliyofanyika katika kanisa la Bikira Maria Malkia wa Amani Jimbo Katoliki Geita Mkoani Geita huku akisema ni bora abariki jiwe...
27Dec 2023
Peter Mkwavila
Nipashe
Akizungumza na wakazi wa kata za Miyuji na Mnadani jijini Dodoma, Kimaro aliwaagiza viongozi hao  kushirikiana kwenye msako huo ili kudhibiti vitendo hivyo na kuongeza nguvu kazi.“Kwenye...
27Dec 2023
Vincent Mpepo, CKHT
Nipashe
Wito huo ulitoloewa na Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Dk. Athuman Samzugi wakati akifungua mafunzo ya siku mbili ya vigezo vya kutathimini habari yaliyofanyika jijini Dar es...
27Dec 2023
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Yanga itaanza kampeni ya michuano hiyo Desemba 31, mwaka huu kwa kuwavaa  Jamhuri wakati Januari Mosi, mwakani JKU itawakaribisha Simba na keshokutwa mechi za ufunguzi itakuwa ni kati ya...

Pages