NIPASHE
18Jan 2024
Joctan Ngelly
Nipashe
Hukumu hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama, Johari Kijuwile baada ya upande wa mashtaka kuthibitisha kosa hilo pasipo kuacha shaka yoyote.Kijuwile alisema mahakama hiyo inatoa...
18Jan 2024
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Katika kauli yake Januari 9, mwaka huu jijini Dodoma, Waziri Mkenda alitamka "Ni marufuku kwa shule yoyote kuweka michango ya lazima ambapo mzazi au mtoto asipotoa mchango huo, mtoto...
17Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwa nafasi ya wenyeviti wa mikoa, wabunge wa zamani waliochaguliwa ni Mbunge wa zamani wa viti maalum Chiku Abwao ambaye amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Mkoa wa Iringa, Mbunge wa zamani wa viti...
17Jan 2024
Nebart Msokwa
Nipashe
Malalamiko hayo yalitolewa na wawekezaji wa kiwanda hicho wakati wa ziara ya Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Mbeya ya kutembelea viwanda mbalimbali mkoani hapa kwa lengo la kusikiliza kero zao...
17Jan 2024
Julieth Mkireri
Nipashe
Kukamatwa kwa mtambo huo kumetokana na mahojiano kati ya watuhumiwa waliokamatwa na fedha bandia huko Msata wilaya ya kipolisi Chalinze na washirika wengine waliobainika baadae mmoja wao akiwa mkazi...
17Jan 2024
Nipashe
Ni kushindwa kugumu, Madrid walifanya uharibifu mkubwa kwenye...
Vinicius Junior alifunga hat-trick kipindi cha kwanza katika Uwanja wa Al-Awwal Park, mabao mawili ndani ya dakika 10 za kwanza, naye Rodrygo Goes akakamilisha kipigo hicho kipindi cha pili huku...
17Jan 2024
Allan Isack
Nipashe
Akizungumza leo jijini Arusha,wakati wa ziara ya kuendelea kuhamasisha kampeni ya uwekezaji wa ndani kwa mikoa ya Kanda ya Kaskazini,Meneja Uhamasishaji Uwekezaji wa Ndani,Felix John,kutoka TIC,...
17Jan 2024
Adam Fungamwango
Nipashe
Mwenyewe aahidi mabao, sasa mtihani kwa Benchikha, ambaye anata…
-akichezea klabu tano tofauti.Straika huyo amesajiliwa siku moja tu baada ya Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha kulalamika kuwa kwa sasa anakosa mshambuliaji mwenye uwezo wa kupachika mabao na mwenye...
17Jan 2024
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Balozi Dk. Nchimbi ambaye ameshawahi kuwa mjumbe katika kamati mbalimbali za CCM, anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Daniel Chongolo ambaye amejiuzulu nafasi hiyo mwishoni mwa mwaka jana.Akitoa...
17Jan 2024
Maulid Mmbaga
Nipashe
Wito huo ulitolewa kupitia taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Huduma za Tiba kutoka Wizara ya Afya Prof. Pascal Ruggajo kwa niaba ya Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Tumaini Nagu iliyolenga kutoa...
16Jan 2024
Mary Geofrey
Nipashe
Meli hiyo iitwayo Norwegian Cruise Line (NCL) iliwasili jana saa 12:00 asubuhi, ikitokea Bandari ya Mombasa nchini Kenya, ikiwa ni matokeo ya mafanikio yaliyotokana na uboreshaji wa Bandari ya Dar es...
16Jan 2024
Nipashe
Roma imepoteza michezo mitatu mfululizo ya Ligi Kuu ya Italia ‘Seria A’, huku wa mwisho ikiwa ni kichapo cha mabao 3-1 kutoka kwa AC Millan.Kocha huyo amefanikiwa kutwaa kombe na UEFA...
16Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mkurugenzi Mkuu wa TCAA, Hamza Johari amesema wametoa ruhusa hiyo baada ya uamuzi wa Mamlaka ya Anga ya Jamhuri ya Kenya kukubali ombi la Tanzania la Kenya kusafirisha mizigo yao yote kwa kutumia...
16Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mfumo huo tayari upo kwenya vifaa vyake vya Pesapal Sabi POS kikilenga kurahisisha malipo ya shukrani (tip) huku ikiendelea kuondokana na malipo ya fedha taslimu kwenye Ukanda wa Afrika Mashariki....
16Jan 2024
Steven William
Nipashe
Kadhalika kanisa hilo limeikumbusha jamii kuwajali wajane ikiwa ni njia mojawapo ya agizo la Mungu.Wito huo ulitolewa jana na Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la KKKT Usharika wa Muheza mjini mkoani...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo katikati akitaka utepe kuzindua mitaala itakayotumiwa na Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), kufundisha wahudumu wa kwenye mabasi mara baada ya kuizindua jana chuoni hapo jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kushoto ni Mkuu wa Dawati la Elimu ya Usalama Barabarani wa Jeshi la Polisi, Michaek Deleli, Mkurugenzi wa Udhibiti wa Usafiri wa Barabara (LATRA), Johansen Kahatano na wapili kutoka kulia ni Mkuu wa Chuo cha CBE, Profesa Edda Lwoga
16Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hayo yalisemwa jana na Mkuu wa chuo cha CBE, Profesa Edda Lwoga wakati wa uzinduzi wa alisema katika kuunga mkono juhudi za serikali CBE imeamua kutoa mchango wake katika kukuza weledi na ufanisi wa...
16Jan 2024
Neema Hussein
Nipashe
Buswelu ametoa ahadi hiyo wakati akizungumza na wananfunzi katika shule ya sekondari Kabungu ambapo amemtaka Mkurugenzi na timu yake kutumia jeshi la akiba kuwatafuta wanafunzi ambao bado...
16Jan 2024
Halfani Chusi
Nipashe
Kigahe alibainisha hayo alipozungumza na mwandishi wa habari hizi aliyehoji sababu za kupanda kwa bei ya bidhaa hizo.Naibu Waziri huyo alisema kupanda kwa bei kunategemeana na soko la chuma duniani,...
16Jan 2024
Jenifer Gilla
Nipashe
Miswada hiyo ni ya: Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2023; Sheria ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi wa Mwaka 2023; Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali Na. 5 wa Mwaka 2023;...
15Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Asisitiza ufanisi wa kazi na gharama kutazamwa upya
Kikao hicho kimefanyika Leo Jijini Dodoma na kuhudhiriwa na Naibu Waziri wa Maji, Maryprisca Mahundi.Waziri Aweso ameeleza matamanio na malengo yake na kumuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Prof....








