NIPASHE
29Jan 2024
Julieth Mkireri
Nipashe
Matangi hayo yanakwenda kusaidia kutunza maji safi na salama kwa ajili ya wanafunzi wakiwa shuleni na kuondokana na adha ya watoto kubeba maji pindi yanapokuwa yamekatika.Akisoma taarifa ya...
29Jan 2024
Elizabeth John
Nipashe
Dk. Chana alitoa kauli hiyo baada ya kutembelea Ofisi ya Msajili wa Vizazi na Vifo (RITA) Mkoa wa Njombe kwa lengo la kuangalia hali ya uandikishaji na usajili wa watoto chini ya miaka mitano.“...
29Jan 2024
Imani Nathaniel
Nipashe
Akizungumza Jijini Dar es Salaam leo, mke wa marehemu Salome Komba, amesema kuwa wanatarajia kufanya kukumbuku ya miaka tisa (9) ya kifo cha mpendwa wao Februari 28 mwaka huu ikiwa ni pamoja na...
29Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Serikali imeweka jitihada za makusudi kwa kuanzisha Mpango wa Tatu wa Taifa wa Maendeleo wa Miaka Mitano FYDP III (2021/22 – 2025/26). Mpango huo pia unatambua umuhimu wa sekta zingine katika...
29Jan 2024
Elizaberth Zaya
Nipashe
Lema ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini, amesema kipato kitokanacho na kazi ya ubunge ambacho ni kati ya Dola 5,000 au 6,000 (Sh. milioni 12 au...
29Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Utambulisho huo utafanyika vyuoni ukiambatana na Tamasha la Muziki
..wameungana kuzindua Kampeni ya utambulisho wa simu za Itel P55 vyuoni ikiambatana na Tamasha la muziki kwa vyuo vikuu vilivyochaguliwa kote barani Afrika. Kampeni hiyo iliyopewa jina la...
29Jan 2024
Thobias Mwanakatwe
Nipashe
Ni mwezi mzima sasa wakiwa hawajulikani waliko huku hofu ikiendelea kutanda kwa ndugu na jamaa kama wako hai au wameuawa.Wafanyabiashara hao wanaodaiwa kutekwa katika Manispaa ya Singida Desemba 28,...
29Jan 2024
Marco Maduhu
Nipashe
Uzinduzi wa Ofisi hiyo umefanyika leo Januari 29, 2024 na kuhudhuriwa na wananchi, viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali pamoja na wanachama wa CCM.Makonda akizungumza wakati wa kuzindua Ofisi...
29Jan 2024
Pilly Kigome
Nipashe
Amesema wanajikita katika kufanya uchunguzi wa kimaabara katika vielelezo mbambali katika masuala ya haki jinai sayansi.Amebainisha katika maabara za mkemia mkuu wa serikali kuna maabara ya ambayo...
29Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kiongozi huyo ameyasema hayo jana mara baada ya kupokea meli ya mizigo ya Shirika la KMTC kutoka China, ikifanya safari zake moja kwa moja kutoka nchini humo hadi Tanzania ikiwa na makasha 1,500....
29Jan 2024
Marco Maduhu
Nipashe
Tukio hilo la kusimikwa Makonda limefanyika wakati alipowasili mkoani Shinyanga kwa ziara ya kusikiliza kero za wananchi na kuzitatua, pamoja na kutoa maelekezo kwa viongozi wa Serikali na Chama ya...
27Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
...Mhashamu Jovitus Mwijage ikiwa ni tukio la kihistoria kutokana na kupita takriban miaka 50 kutoka kufanyika sherehe kama hiyo ya uwekaji wa wakfu. Sherehe hizo zimefanyika katika...
27Jan 2024
Ashton Balaigwa
Nipashe
Januari 25, 2024),siku ya tukio hilo vilitokea vifo vitano wakiwemo wanafunzi wawili wa shule za msingi , mmoja ni eneo la Kihonda kwa Chambo na mwingine Kihonda Kiegeya. Kutokea kwa vifo...
27Jan 2024
Marco Maduhu
Nipashe
Wiki ya sheria nchini ilianza kuadhimishwa Januari 24 mwaka huu, na itahitimishwa tarehe 30 na kufungwa Rasmi Februari Mosi, ambapo kwa Shinyanga yatafungwa katika Viwanja vya Mahakama Kuu ya...
27Jan 2024
Shaban Njia
Nipashe
Kiwanda hicho kilichopo Kibaha kimejengwa kwa ushirikiano wa nchi za Tanzania na Cuba kwa lengo la kukabiliana na ugonjwa wa Malaria.Akizungumza baada ya kutembelea kiwanda hicho Mesa alisema kuwa...
27Jan 2024
Julieth Mkireri
Nipashe
Kiwanda hicho kilichopo Kibaha kimejengwa kwa ushirikiano wa nchi za Tanzania na Cuba kwa lengo la kukabiliana na ugonjwa wa Malaria. Akizungumza baada ya kutembelea kiwanda hicho Mesa alisema...
27Jan 2024
Neema Hussein
Nipashe
Akisoma rasimu hiyo Afisa Mipango Halmashauri ya Nsimbo, Edgar ametaja makisio hayo kuwa ni zaidi ya shilingi billion 26.8 huku Mwenyekiti wa halmashauri hiyo Halawa Malendeja akitaka kusikia kauli...
27Jan 2024
Shaban Njia
Nipashe
Aidha Mkewe amezikwa kawaida kama wanavyozikwa watu wengine isipokuwa yeye ndio kazikwa akiwa amekaa kwenye kiti kaburini na waliuawa na watu wasiojulikana ambao wanadaiwa ni majambazi. Mtoto wa...
27Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Lengo ni kutaka kazi zao zisimamiwe kwa kufuata vipengele vya ubia sambamba na sheria ya manunuzi ya umma na ulipaji kodi kwa wakati.Hayo yamesemwa jana na Mkuu wa Idara ya Utafiti na Maendeleo kwa...
26Jan 2024
Ibrahim Joseph
Nipashe
...kwa wale wanaotumia dawa za kufumbaza virusi vya VVU na UKIMWI ambao umekuwa ni chanzo cha wengine kuacha kutumia dawa hizo. Aidha Dk. Kilimba amesema wamekuwa wakitoa huduma ya tohara kwa...








