NIPASHE

13Feb 2024
Mary Geofrey
Nipashe
Balozi Vehineh alitoa ahadi hiyo mwishoni mwa wiki wakati wa maadhimisho ya miaka 45 ya Mapinduzi ya Iran, ya mwaka 1979, yaliyouondoa utawala wa kifalme na kusimika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran....
13Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza Visiwani hapa wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo iliyoanzishwa na kampuni ya Tigo na Laina Finance Limited, Naibu Waziri wa Afya Zanzibar, Hassan Khamis Hafidh, amesema huduma hiyo ni...
13Feb 2024
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Lowassa aliyefariki dunia Jumamosi iliyopita, alikuwa sehemu ya safu iliyompambania Kikwete kwa mara ya kwanza katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 1995 na ule wa 2005 uliomweka madarakani.Kwa mujibu wa...

Baadhi ya wafanyakazi wa chama hicho wakiwa katika picha ya pamoja mkoani Manyara.

12Feb 2024
Sabato Kasika
Nipashe
Vitu hivyo ni magodoro, blanketi, vifaa vya jikoni, taulo za kike, vyandarua, dawa za kutibu maji na chakula ambacho baadhi ya kaya zimepewa kitakacholiwa kwa miezi sita hadi mwaka mmoja na nusu.Hayo...
12Feb 2024
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Lowassa aliweka historia ya kuwa kiongozi wa kwanza wa wadhifa huo kujiuzulu mbele ya Bunge, kuhamia upinzani na kugombea urais huku akiwa ni mwanasiasa mwenye nguvu na aliyetikisa katika kila...

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna (kushoto), akimkabidhi zawadi ya bodaboda Agnes Maujundu (katikati), baada ya kushinda shindano la kufungua akaunti ya NMB wakati wa tamasha la kuhamasisha wananchi kufungua akaunti ya NMB Pesa kwa Sh. 1,000 Mbagala Zhakem jijini Dar es Salaam. Kulia ni Ofisa Mkuu Wateja Binafsi na Biashara wa Benki ya NMB, Filbert Mponzi. PCHA: MPIGAPICHA WETU

12Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Tamasha hilo lilifanyika kwenye Viwanja vya Mbagala Zakhiem, likienda sambamba na uzinduzi wa kampeni ya Weka na Ushinde itakayodumu kwa miezi mitatu, mgeni rasmi akiwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke,...
10Feb 2024
Nipashe
...ambao serikali kupitia Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi iliikopesha halmashauri hiyo zaidi ya Sh.bilioni 1.5. "Mkurugenzi hizi fedha tunazihitaji kama tulivyokubaliana,fedha...

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe(MU) kilichopo Mkoani Morogoro,Profesa William Mwegoha,akipanda mti ikiwa ni uzinduzi wa kampeni ya kupanda miti 20000,kwenye Kampasi ya chuo hicho ili kuunga mkoano agizo la Rais Samia Suluhu Hassan,Picha na Ashton Balaigwa,Morogoro.

10Feb 2024
Ashton Balaigwa
Nipashe
Akizungumza katika uzinduzi wa Kampeni hiyo ya upandaji miti 3,000 uliofanyika kampasi kuu ya Chuo hicho iliyopo katika Kijiji cha Changarawe,Makamu Mkuu wa Chuo hicho,Profesa William Mwegoha,alisema...

Katibu Mkuu wizara ya Nishati Mha. Felchesmi Mramba amepokea mtambo wa kuzalisha Umeme wa gesi asilia wa Megawati 20 kwa ajili ya kutatua changamoto ya Umeme kwa mikoa ya Lindi na Mtwara.

10Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mtambo wa Megawati 20 wawasili mkoani Mtwara , Wabunge wapongeza
Mtambo huo aina ya TM16 wenye mfano wa injini ya ndege ya Boeing 747 utafungwa katika  Kijiji cha Hiari, Wilaya ya Mtwara Vijijini ikiwa ni maelekezo ya Mhe. Rais, Dk. Samia Suluhu Hassan kwa...
10Feb 2024
Daniel Limbe
Nipashe
 ( Wash & Swash) huku ikiwataka kuacha kuchongeana kwa lengo la kuharibiana kazi badala yake washirikiane kuhakikisha jamii inapata manufaa yaliyokusudiwa.Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa...
09Feb 2024
Daniel Limbe
Nipashe
Aidha watoto wote wenye umri kuanzia miezi tisa na wale walio chini ya miaka mitano wanatarajiwa kunufaika na mpango huo.Mratibu wa chanjo wilaya hiyo,Melkizedeck Kimario,amesema wilaya hiyo...

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Emmanuel Tutuba akihutubia wakati wa mkutano wa Pili wa Ujumuishi wa Kifedha uilioandaliwa na Umoja wa Mabenki Tanzania na kufanyikia jijini Dar es Salaam

09Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Pamoja na kongamano hilo TBA imezindua Kanuni za Usimamizi Endelevu wa Sekta ya Fedha.Akiongea wakati kongamano hilo, Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Emmanuel Tutuba aliyekuwa mgeni rasmi...
09Feb 2024
Sabato Kasika
Nipashe
Dk. Dorothy amesema hayo wakati akifungua mafunzo kwa wahariri na waandishi wa habari jijini  Dar es Salaam leo, ambayo yalihusu ukatili huo kwa watoto.Amesema, waandishi kwa kutumia kalamu zao...
09Feb 2024
Ashton Balaigwa
Nipashe
Akizungumza wakati wa zoezi la upakiaji wa mifuko ya sukari yenye ujazo wa kilogramu 25, Afisa Mwandamizi wa masoko na mauzo wa Kampuni Hodhi ya Mkulazi Milkasia Joseph, amesema tayari kiwanda...
09Feb 2024
Ashton Balaigwa
Nipashe
Akikabidhi gari hilo,Mbunge   wa Jimbo la Morogoro Mjini Abdulaziz Abood ,amesema ni  la pili kutolewa  kwaajili ya  kubebea wagonjwa  (Ambulance) kwa wilaya ya Morogoro...
09Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mradi huo unalengo la kuongeza kasi ya treni pamoja na uwezo wake kwa kuondoa vyuma chakavu na kurekebisha mabehewa. Hatua hiyo itawezesha Bandari ya Tanga kuhudumia mizigo ya Dar es Salaam...
09Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hafla ya uzinduzi wa kadi hiyo ilifanyika jana katika makao makuu ya Benki ya NMB jijini Dar es Salaam, ambako benki hiyo iliwakilishwa na Ofisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara, Filbert Mponzi,...

Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Tanzania Bara, Benson Kigaila.

09Feb 2024
Vitus Audax
Nipashe
Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Tanzania Bara, Benson Kigaila, alitoa rai hiyo wakati akitangaza kusogezwa mbele kwa maandamano hayo yaliyotarajiwa kufanyika Februari 13, mwaka huu kutokana na uwanja...

RAIS Samia Suluhu Hassan.

09Feb 2024
Elizaberth Zaya
Nipashe
Sambamba na hayo, Rais Samia amewaonya mabalozi kuhusu kuingilia uchaguzi huo kwa kuzingatia mila, kanuni na maadili ya kidiplomasia. Tanzania inatarajia kufanya uchaguzi wa serikali za mitaa (...
09Feb 2024
Restuta James
Nipashe
Wakati hali ikiwa hivyo Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema tatizo hilo ni himilivu kutokana na kuwapo kwa akiba ya kutosha. BoT imebainisha kwamba kuna  akiba ya Dola za Marekani bilioni 5...

Pages