NIPASHE

​​​​​​​KOCHA Mkuu wa Azam FC, Youssouph Dabo.

11Mar 2024
Saada Akida
Nipashe
Amesema anasahihisha makosa yao kwenye safu ya ulinzi na ushambuliaji ili kuwa makini katika mchezo ujao watakaocheza na mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga.Akizungumza na Nipashe,...
11Mar 2024
Nipashe
Maafisa wa afya walikuwa wametangaza marufuku hiyo wiki jana na kuamuru kufungwa kwa maeneo yote ya machinjio ili kupunguza kuenea kwa mlipuko huo.Waziri wa masuala ya jiji la Kampala Minsa Kabanda,...

KOCHA Msaidizi wa Simba, Selemani Matola.

11Mar 2024
Adam Fungamwango
Nipashe
Akizungumza kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga baada ya kumalizika kwa mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara na timu yake kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Coastal Union, Matola amesema pamoja na kwamba...
11Mar 2024
Saada Akida
Nipashe
Mexime asema ni mechi ngumu lakini wanataka matokeo na wamejipanga...
Mchezo huo utakapigwa Uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi, Dar es Salaam, majira ya saa 1:00 usiku ambapo timu zote zinahitaji pointi tatu, huku Yanga ikihitaji kulipa kisasi baada ya duru la...
11Mar 2024
Jenifer Gilla
Nipashe
Ripoti ya Muungano wa Kimataifa wa Kuhifadhi Mali Asili (IUCN) kuhusu plastiki na jamii za ufukweni nchini ya mwaka 2021 inaonyesha kuwa asilimia 40 ya taka hizo zinakusanywa, lakini asilimia 96...

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Alex Mkama.

11Mar 2024
Ashton Balaigwa
Nipashe
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Alex Mkama alibainisha hayo mjini hapa alipochangia mada kuhusu vitendo vya ubakaji na ulawiti vinavyoongezeka mkoani humu wakati wa kikao cha Kamati ya Ushauri...

Prof. Ibrahimu Juma.

11Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akiwa na angalizo mahususi kwa watendaji wenzake wa mahakama, Jaji Mkuu Juma ameanika vitendo vya unyanyapaa kwa kundi hilo, akiwataka majaji na mahakimu wanawake kujenga utamaduni wa kufanya mazoezi...

​​​​​​​Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Omary Mwanga (Marioo).

11Mar 2024
Kulwa Mzee
Nipashe
Marioo na Meneja wake Sweetbert Mwinula wameshtakiwa katika Mahakama Kuu Masjala ya Wilaya ya Arusha mbele ya Jaji Joackim Tiganga, wakidaiwa jumla ya Sh. 550,000,000 kwa madai ya kuvunja mkataba wa...

Kiongozi wa tawili la Al-Qaeda kwa Yemen aliyetangazwa kufariki dunia, Khalid Batarfi.

11Mar 2024
Nipashe
Shirika hilo limeandika mwili wa Batarfi ulionyeshwa katika picha zilizotolewa na Al-Qaeda katika Rasi ya Uarabuni (AQAP) ukiwa kwenye sanda ya maziko na ukiwa umefungwa kwenye bendera yenye jina la...

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, Benjamin Kuzaga.

11Mar 2024
Nebart Msokwa
Nipashe
Inadaiwa kuwa baada ya kutekeleza unyama huo, mama huyo alifanya jaribio la kujiua kwa kunywa sumu hiyo ili kukwepa mkono wa sheria.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa...
11Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar kunenge ametoa pole kwa majeruhi na ndugu waliofiwa na kuwakumbusha madereva kuwa makini kwa kufuata sheria wanapokuwa barabarani.Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya ya...

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk.Emmanuel Nchimbi.

08Mar 2024
Elizaberth Zaya
Nipashe
Katika salaam zake za heri kwa wanawake wote, katika kilele cha siku ya Wanawake Duniani, inayoadhimishwa Machi 8, kila mwaka, Balozi Dk.Nchimbi, akirejea kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu,...
08Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ni katika miaka mitatu ya Dk. Samia Tabora yafunguka kiuchumi
Miradi iliyokamilika ni Barabara ya Nyahua-Chaya ( Km 85.4), Usesula-Komanga (km108.0), Komanga-Kasinde (108.0),miradi ambayo ipo kwenye hatua mbalimbali za utekelezaji  ni barabara ya...

Mchuuzi wa vitunguu, maarufu kwa jina la Mama Anna, akiviandaa wakati akisubiri wateja katika Soko la Samunge, jijini Arusha. Bei ya vitunguu imepanda kutoka 10,000/- hadi 18,000/- kwa kipimo cha ndoo ndogo ya ujazo wa lita tano. PICHA: GETRUDE MPEZYA

08Mar 2024
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Wakizungumza na waandishi wetu katika maeneo mbalimbali nchini, wanawake hao wamesema ni miaka 29 tangu kuanza maadhimisho hayo, hatua kubwa zimepigwa, lakini bado kuna changamoto zinazopaswa kupewa...
08Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
-ni Mkurugenzi wa Gazeti la Tanzania Daima.Mbowe kupitia wakili wake, John Mallya aliwasilisha shauri hilo chini ya hati ya dharura mbele ya Naibu Msajili wa Mahakama Kuu, Mary Mrio.Alifungua shauri...
08Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza katika maadhimisho hayo Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Trunk Main Handeni mkoani Tanga, Yohana Mgaza, amesema kuzinduliwa kwa bwawa hilo limewasaidia wanawake kutokufuata maji umbali mrefu...

Feisal Salum.

08Mar 2024
Adam Fungamwango
Nipashe
Dakika tisa kabla ya mechi kumalizika, Feisal Salum aliisawazishia Azam bao, akiiokoa timu yake kwa kipigo, lakini akifikisha idadi ya mabao 12 na kuzidi kumuacha Stephane Aziz Ki wa Yanga...

MSAJILI wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi Tanzania (CRB), Mhandisi Rhoben Nkori.

08Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Amesisitiza kuwa serikali imekuwa ikitoa kipaumbele kwa miradi mingi kutekelezwa na Makandarasi wazawa lakini kuna baadhi wamekuwa wakitumia fursa hiyo kuijengea taswira mbaya tasnia hiyo kwa kufanya...
08Mar 2024
Christina Mwakangale
Nipashe
Miongoni mwa waliotoa maoni hayo ni walioko katika mfumo usio na ulio rasmi ambao wamesema huhifadhi fedha zao kwenye mifumo rasmi ya kifedha kama vile mitandao ya simu na benki.Machi 5, mwaka huu,...

Nahodha Bahati Issa, akiwa ‘chomboni’.PICHA; RAHMA SULEIMAN.

08Mar 2024
Rahma Kisilwa
Nipashe
Anuia kumiliki chake, kinamama wamhusudu balaa, Staili yake anawavusha wageni visiwani, kuwapikia
“Haikuwa kazi nyepesi kwangu kuingia baharini peke yangu mwanamke na kuwa Nahodha na kuchukua chombo na kuanza kuzunguka nacho baharini, bila ya mwanaume,” anatamka Nahodha wa chombo cha...

Pages