NIPASHE
07Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwenye Kikao hicho kilichofanyika katika Ukumbi wa Hakainde Hichilema uliopo kwenye Jengo la Maalim Seif (Makao Makuu ya ACT Wazalendo), Wajumbe wa Halmashauri Kuu wamethibitisha kwa kauli moja...
07Mar 2024
Elizaberth Zaya
Nipashe
Uongozi wa chama hicho pia umetangaza awamu nyingine ya maandamano yatakayofanyika kwa wiki nzima ifikapo mwezi ujao.Ni maazimio yaliyotangazwa jana baada ya Kamati Kuu ya chama hicho kujifungia...
07Mar 2024
Marco Maduhu
Nipashe
Utiaji Saini huo umefanyika jana Machi 6,2024 Katika ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya wilaya ya Kishapu, na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wakiwamo wanatoka kwenye vijiji 12 vinavyozunguka...
06Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kupitia reli hiyo, miji pacha ya Kolkata na Howrah, iliyokuwa imegawanywa Mto wa Hooghly katika jimbo Bengal Magharibi.Treni hiyo inatarajiwa kuchukua mkondo wa mto wa mita 520 katika sekunde 45 tu...
06Mar 2024
Shaban Njia
Nipashe
Kiwanda hicho kinatarajia kufunguliwa hivi karibuni na kitakuwa na mitambo ya kisasa zaidi na kimejengwa kando ya soko la madini la Mkoa wa kimadini Kahama, hivyo wanunuzi na wachimbaji wanawajibu wa...
06Mar 2024
Faustine Feliciane
Nipashe
Akizungumza jijini Dar es Salaam, Mkurugezi wa TWCC, Mwajuma HAmza, amesema tuzo hizo zinalenga kuonesha mchango wa mwanamke mjasiriamali katika kukuza uchumi wa nchi na kuchochea maendeleo ya jamii...
06Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
...na kusababisha barabara kuu zinanounganisha wilaya hiyo na maeneo mengine kufungwa. Waziri Bashungwa akiwa ameambatana na Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Deo Ndejembi ameshuhudia...
06Mar 2024
Neema Emmanuel
Nipashe
Hayo yamebainishwa leo katika ufunguzi wa kongamano la siku mbili la uwekezaji katika sekta ya reli linalofanyika mkoani Mwanza, ambapo amesema hatua hiyo itachochea ukuaji wa sekta zingine na taifa...
06Mar 2024
Adam Fungamwango
Nipashe
Yajivunia mafanikio hayo huku ikisifu wachezaji wa kigeni kwa...
-dunia, lakini akitoa siri ya mafanikio hayo.Kwa mara ya kwanza katika historia ya michuano hiyo, timu za Simba na Yanga zimetinga kwa pamoja hatua ya robo fainali huku Tanzania ikiwa nchi pekee...
06Mar 2024
Saada Akida
Nipashe
-Jwaneng Galaxy ya Botswana na watani wao wa jadi, Simba.Katika kundi hilo, Simba imefuzu kwa kushika nafasi ya pili sawa na Yanga ambayo ilikuwa Kundi C, iliyopita na vinara Al Ahly, huku CR...
06Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Tukio hilo limetokea katika eneo la Murwambe, Nyamongo wilayani humo. Inaelezwa kuwa askari hao walifika katika eneo hilo na kuanza kurusha risasi ovyo ndipo ikampata binti huyo.Mama mzazi wa Neema,...
06Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
...ambayo umekuwa ukistawi kwa zaidi ya miongo sita iliyopita. Wakati wa enzi ya Vita Baridi, Tanzania chini ya uongozi wa Julius Nyerere, ilifuata sera ya kutofungamana na upande wowote,...
06Mar 2024
Nipashe
Otarola amevieleza vyombo vya habari sauti hiyo ni ya mwaka 2021, wakati huo hakuwa ofisa wa serikali, na ilibadilishwa na kuhaririwa kama sehemu ya njama ya wapinzani wake wa kisiasa. Awali alikana...
06Mar 2024
Halfani Chusi
Nipashe
Amesema dhamira ya Rais Samia Suluhu Hassan ni kuhakikisha mchakato wa uchaguzi unakuwa huru na wa haki ili watu wapate fursa ya kuchagua viongozi wanaowataka.Ameeleza hayo alipomwakilisha Rais...
06Mar 2024
Christina Mwakangale
Nipashe
Baadhi ya tabia hizo ni matumizi ya vijiti vya kuchokonolea meno (‘toothpick’) baada ya mlo, kufungua vifuniko vya soda au bia kwa kutumia meno na kufanya ngono kwa njia ya mdomo.Amesema...
06Mar 2024
Marco Maduhu
Nipashe
Amewataka kutumia nafasi hiyo kukemea ukatili huo ili kulinda utu wa mtoto husika.Ametoa marufuku hiyo kwenye Kongamano la Mwaka la Muunganiko wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali mkoani Shinyanga,...
06Mar 2024
Pilly Kigome
Nipashe
Kwa mara ya kwanza taasisi hiyo imeanza na kuwafikia wanafunzi mabinti ambao wamepoteza wazazi wao wote wawili (yatima) waliopo katika Shule ya Sekondari BethSaida Orphan Centre iliyopo MbeziMpigi...
06Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Aliongeza kwamba, kwa kuwa madini muhimu ni rasilimali zisizoweza kujadidishwa, ni muhimu sekta ya umma na binafsi kuungana na kufanya kazi kwa karibu ili pande zote ziweze kunufaika kikamilifu.Mbibo...
05Mar 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
... ambayo ikikamilika itaunganisha Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki na kuchochea ukuaji wa uchumi ikiwa ni pamoja na kupunguza gharama na muda wa safari ikiwamo kurahisisha ufanyaji biashara....
05Mar 2024
Maulid Mmbaga
Nipashe
Kinana ameyasema hayo leo Machi 5, 2024, jijini Dar es Salaam alipokuwa akitoa salamu akimwakilisha Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Samia katika mkutano mkuu wa chama cha ACT -Wazalendo. Amesema...