SAFU »

02Mar 2016
Leonce Zimbandu
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

JUNI, mwaka huu rais John Magufuli anatarajia kukabidhiwa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwa kama mwenyekiti wa taifa wa chama hicho.

02Mar 2016
Mashaka Mgeta
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

SERIKALI kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, imetangaza mkakati mahususi wa kuwakagua waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda, ili kujiridhisha kwamba hawahusiani na mipango ya ujambazi na...

01Mar 2016
Charles Kayoka
Nipashe
Mtazamo Yakinifu

Bado tuna safari ndefu ya ukombozi wa mwanaume. Huko nyuma nilishawahi kuandika kuwa safari ya kujenga usawa wa kijinsia itakuwa na mafanikio kama nguvu ya harakati za kuiokomboa jamii kutokana na...

01Mar 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

USIMAMIZI wa watoto katika elimu ni jambo muhimu na linalohitaji ushirikiano baina ya wazazi na walimu.

01Mar 2016
Restuta James
Nipashe
Mjadala

RIPOTI mbalimbali zinaonyesha kuwa watu milioni 18 nchini hawana uwezo wa kupata maji safi. Ripoti nitakayozirejea hapa leo ni ile ya hali ya haki za wanawake iliyotolewa na Shirika la Wanawake na...

29Feb 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Muungwana Lazima Nilonge

RAUNDI ya tano ya michuano ya Kombe la Shirikisho (FA) inafikia tamati leo kwa mechi moja itakayozikutanisha Panone FC na Azam FC kwenye Uwanja wa Ushirika mjini Moshi.

29Feb 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Mjadala

LIGI Kuu Tanzania Bara imeingia mzunguko wa pili na tayari inaelekea ukingoni.

28Feb 2016
Barnabas Maro
Lete Raha
MZEE YANGA

MAKALA iliyochapishwa na gazeti hili Jumapili iliyopita ikiwana kichwa: “Yanga itakuwategemezi mpakalini?” imevuta wapenzi waliotuma maoniyaokwangunaminayachapishakamayalivyo:

28Feb 2016
Adam Fungamwango
Lete Raha
UPEPO WA KISPOTI

MPIRA wa miguu siyo vita. Mpira wa miguu ni mchezo wa kiungwana na ndiyo maana Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) likaja na kauli mbiu ya 'fair play'.

28Feb 2016
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Muungwana Lazima Nilonge

WAKATI wa kampeni za Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba mwaka jana, aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Rais John Magufuli aliahidi kushughulikia mambo mbalimbali ambayo ni kero kwa wananchi...

28Feb 2016
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Tuzungumze kidogo

Katika kongamano la kupinga ukeketaji dhidi ya watoto wa kike na wanawake, lililofanyika Februari 5 na 6, mwaka huu mjini Singida, Naibu Waziri wa Afya, Dk. Hamisi Kigwangala, aliwaahidi washiriki...

28Feb 2016
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
NAWAZA KWA SAUTI

NDOA ni taasisi ambayo wahusika wake nawafananisha na viongozi wa serikali, kwa maana ya rais wa nchi ni baba na mama ni Waziri Mkuu ambaye ndiye mtendaji mkuu wa shughuli zote za nyumbani katika...

27Feb 2016
Moshi Lusonzo
Nipashe
Mtindo

SAA ya mkononi ni pambo linalopendwa kutumiwa na wanaume katika mazingira tofauti.

Pages