NDANI YA NIPASHE JUMAPILI
Waziri wa Nchi – Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Prof. Joyce Ndalichako (wakwanza kulia), Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, Mhe. Fatma Hassan Toufiq, (mwenye kilemba chekundu), Katibu Mkuu - Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Prof Jamal Adam Katundu (wapili kulia), pamoja na Wajumbe wa Kamati hiyo wakipokea maelezo kutoka kwa mwakilishi wa kiwanda cha unga cha Bakhresa (Buguruni Flour Mills) juu ya namna kiwanda hicho kinavyoendesha mifumo ya usalama na afya mahali pa kazi.






