NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

09Jul 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mbali na mchezo huo fainali nyingine ilikuwa ya kuvuta kamba kati ya wanafunzi wa kozi ya uofisa na mkaguzi msaidizi wa Polisi ambapo wanafunzi wa kozi ya uofisa ilishinda mchezo huo. Mgeni...
09Jul 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Taarifa hiyo imetolewa na Msemaji Mkuu wa Serikali, Greson Msigwa wakati akizungumza na waandishi wa Habari jijini Arusha.“Leo nipo hapa kuwapa habari njema, siku chache zilizopita nilijulisha...

Mratibu wa Jukwaa la Mkutano wa Kimataifa kutoka Wizara ya Madini, Jacqueline Aloyce.

09Jul 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mratibu wa Jukwaa la Mkutano wa Kimataifa kutoka Wizara ya Madini, Jacqueline Aloyce amesema kuwa jukwaa hilo linatarajiwa kuwakutanisha wadau mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi Oktoba 25 na 26...
09Jul 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Rugambwa anakuwa kardinali wa tatu nchini Tanzania akitanguliwa na Laurean Rugambwa aliyefariki dunia Desemba 8, 1997 na Polycarp Pengo aliyestaafu mwaka 2019.Papa amemteua Rugambwa kuwa kardinali...
09Jul 2023
Elizaberth Zaya
Nipashe Jumapili
Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa TASAC, Kaimu Mkeyenge wakati akizungumza na waandishi wa habari baada ya kutembelea banda la shirika hilo kwenye maonyesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa...

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu sera Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama Mb) wa Peramiho akikabidhi pikipiki Watendaji wa Kata Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Peramiho.

09Jul 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu sera Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama, ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho wakati wa hafla fupi   ya kukabidhi pikipiki tisa kwa watendaji wa...

MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), Latifa Khamis.

09Jul 2023
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Latifa ameyasema hayo Julai 9, mwaka huu, kwenye Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam (DITF), maarufu SabaSaba, akiwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa huduma hiyo."Akaunti pepe...
09Jul 2023
Neema Hussein
Nipashe Jumapili
-na shughuli mbalimbali za kiuchumi na kilimo katika maeneo hayo.Jamila ameyasema hayo wakati akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mtisi kata ya Stalike halmashauri ya Nsimbo ambapo amesema...

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni.

09Jul 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kauli hiyo imekuja baada ya kuibuka baadhi ya watu hususani wanasiasa kutumia majukwaa yao kutoa kauli zenye viashiria vya uvunjifu wa amani vyenye kuleta mgawanyiko nchini.Waziri wa Mambo ya Ndani...

​​​​​​​ASKOFU wa Kanisa Katoliki Jimbo la Shinyanga, Mhashamu Liberatus Sangu.

09Jul 2023
Marco Maduhu
Nipashe Jumapili
Kiongozi huyo wa kiroho alitoa rai hiyo juzi wakati wa sherehe za kumpa daraja la upadre James Mrema wa Parokia ya Mwadui wilayani Kishapu mkoani Shinyanga.Alisema wazazi wanapaswa kuwa karibu na...

Jose Chameleone.

09Jul 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Baba mzazi wa mwimbaji huyo, Gerald Mayanja amethibitisha kuwa mtoto wake anaugua ugonjwa huo tangu ahamishie makazi yake nchini Marekani.“Chameleone amekuwa mgonjwa katika miezi iliyopita....

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia (Sera, Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama akizungumza wakati wa kukabidhiwa kipande cha sehemu ya kwanza ya Ujenzi wa eneo la Gwaride la Uwanja wa Mashujaa unaojengwa katika Eneo la Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma.

02Jul 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ujenzi huo unaotekelezwa na kampuni ya SUMA JKT, umekamilisha kipande cha sehemu ya kwanza ya ujenzi wa uwanja wa Gwaride ambao unategemewa kutumika katika Maadhimisho ya Siku ya kumbukumbu ya...

Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Kishapu Benard Welema akizungumza kwenye Mkutano wa hadhara.

02Jul 2023
Marco Maduhu
Nipashe Jumapili
Mkutano huo wa hadhara umefanyika jana katika Mji wa Mhunze wilayani Kishapu.Amesema amefanya Mkutano huo wa kusikiliza kero mbalimbali ambazo zinawakabili vijana wilayani humo, ili kuzitafutia...
02Jul 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Faida ya pili ni uwekezaji wa DP World unatarajiwa kuongeza shehena inayohudumiwa na Bandari ya Dar es Salaam kutoka tani milioni 18.4 kwa mwaka 2021/22 hadi kufikia tani milioni 47.5 kwa mwaka...

Ofisa Habari wa Yanga, Ali Kamwe.

02Jul 2023
Adam Fungamwango
Nipashe Jumapili
Ofisa Habari wa klabu hiyo, Ali Kamwe amesema kuwa Juma lijalo, wanachama na mashabiki wa klabu hiyo watapokea taarifa nzuri za usajili na mambo mengine ya maendeleo ya klabu hiyo ambayo...

Mwenyekiti wa Baraza la MUHAS, Dk. Harrison Mwakyembe.

02Jul 2023
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Chuo hicho kimeshika nafasi hiyo kati ya vyuo 88 vilivyofanyiwa utafiti wa kina uliofanywa na taasisi ya utafiti ya Uingereza iitwayo Times Higher Education (THE) kwa kushirikiana na MasterCard...
02Jul 2023
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam,katika maonesho ya Biashara ya 47 ya Kimataifa Sabasaba yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere, Mwalimu wa Wanafunzi Maalum wa...
02Jul 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Katika banda hilo wadau wanaotembelea banda wanaelezwa kuhusu utambuzi wa madini ya Vito, uthaminishaji, elimu kuhusu ukataji, ung'arishaji madini ya vito na uzalishaji pamoja na uuzaji.Aidha,...
02Jul 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Baada ya kusaini makubaliano hayo, ushirikiano wa NMB na Yanga utalenga maeneo yafuatayo: Kutumia mtandao mpana wa NMB unaojumuisha matawi zaidi ya 228 kote nchini kufanya usajili wa wanachama...
02Jul 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mavunde amefanya makabidhiano hayo ya mashamba kwa vikundi hivyo katika mbuga ya Sogeambele, Kata ya Chihanga ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mipango ya uwezeshwaji wananchi kiuchumi."Ni imani...

Pages