NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

Mratibu Msaidizi wa Dawati la Jinsia katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Marco Stephano (kushoto) akikabidhi msaada wa vyakula mbalimbali na mafuta kwa mwakilishi wa kituo cha kulelea yatima cha Hisani Orphanage Center Kigamboni jijini Dar es Salaam, Meshark Eluhuruma wakati wanafunzi wa chuo hicho walipokwenda kutoa msaada jana.

04Jun 2023
Nipashe Jumapili
Wito huo ulitolewa mwishoni mwa wiki na Mkurugenzi wa kituo hicho, Idaya Mutalemwa, wakati akipokea msaada wa vyakula mbalimbali kutoka kwa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE).Alisema mahitaji makubwa...

KIONGOZI wa Chama Cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe.

04Jun 2023
Julieth Mkireri
Nipashe Jumapili
Kiongozi huyo wa Chama ameyasema hayo katika mkutano uliofanyika Bukoba mkoani Kagera ambapo katika mkutano huo mmoja wa wanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Dk. Azaveli Lwaitama, alisema...
04Jun 2023
Godfrey Mushi
Nipashe Jumapili
-changamoto za maisha na msongo wa mawazo.Akizungumza wakati wa kikao cha ushirikishaji wadau matokeo ya mradi wa afya ya akili, unaotekelezwa na Shirika la kiraia la KWIECO katika Kata za Uru Kusini...

Katibu wa Shirikisho la Soka Zanzibar (ZFF), Hussein Ahmada Vuai,.

04Jun 2023
Hawa Abdallah
Nipashe Jumapili
Mechi ya Ligi Kuu Zanzibar kati ya Black Sailor dhidi ya KMKM ilivunjika kutokana na kitendo cha wachezaji wa Black Sailor kumpiga mwamuzi baada ya wapinzani wao kusawazisha bao dakika ya 83 na...

Askofu mkuu wa Kanisa la Elim Pentekoste Tanzania (KEPT) Peter Konki, akizungumza kwenye ibada ya shukrani aliyoiandaa kwa ajili ya kumshuru Mungu kwa kuchaguliwa tena kushika nafasi hiyo. PICHA: JALIWASON JASSON

28May 2023
Jaliwason Jasson
Nipashe Jumapili
Konki ametoa ombi hilo leo katika ibada ya shukrani aliyoifanya kanisani hapo akishukru kwa kuchaguliwa Desemba 29 mwaka jana kuendelea kushika nafasi hiyo."Mila nzuri ziendelezwe na yale mabaya...

Mjumbe wa Serikali ya kijiji cha Ruvula Ally Kachakacha akionyesha mashamba ambayo yamefanyiwa usafi na kuhitaji kuchomwa takataka lakini hawawezi kuzichoma kutokana na mabomba ya gesi kupita kwenye mashamba yao.

28May 2023
Marco Maduhu
Nipashe Jumapili
Mjumbe wa Serikali ya Kijiji cha Ruvula Ally Kachakacha, alibainisha hayo wakati akizungumza na Nipashe ilipotembelea katika kijiji hicho kwa niaba ya Mwenyekiti.Amesema wananchi katika kijiji hicho...

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) mstaafu, Ludovick Utouh.

28May 2023
Godfrey Mushi
Nipashe Jumapili
Utouh ambaye kwa sasa ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya WAJIBU, alikuwa anazungumza jana na wasomi mbalimbali katika Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU), alikokwenda kuzindua kamati ya ushauri wa...

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe.

28May 2023
Julieth Mkireri
Nipashe Jumapili
Amesema hatua hiyo itaokoa uharibifu wa barabara na kutoa usafiri nafuu kwa makaa ya mawe yanayotoka Mbinga na Peramiho.Aliyasema hayo jana katika mkutano wa hadhara uliofanyika Soko Kuu la Songea,...

Dk. Hamis Kigwangalla.

28May 2023
Vitus Audax
Nipashe Jumapili
Dk. Kigwangalla ambaye ni mmiliki wa kiwanda cha kuchakata pamba kiitwacho Mwalujo Ginery kilichopo Kijiji cha Mwalujo wilayani Kwimba mkoani Mwanza, anatuhumiwa kutenda kosa hilo Mei 22 mwaka huu....
28May 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Yathibitisha kutoa fursa kwa watanzania, hadi sasa imeajiri watanzania 96, Kufikia Aprili 2023, wakandarasi wametoa ajira za muda mrefu kwa wafanyakazi 163 , Manunuzi ya thamani ya Shilingi zaidi ya Bilioni 15 yamefanyika kwa watoa huduma wa kitanzania hadi kufikia Aprili, 2023
Hayo yamebainishwa na Meneja Mkazi wa  Kampuni ya Tembo Nickel Benedict Busunzu  katika Semina kwa  Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini iliyoandaliwa na Wizara ya Madini...
21May 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo Katibu wa Umoja wa kikundi hicho, Elisha Makuya amemshukuru Meya kwa kuwapatia pikipiki hiyo kwani itawaingizia kipato kitakachowasaidia kutatua changamoto...
21May 2023
Julieth Mkireri
Nipashe Jumapili
Shaib ametoa rai hiyo leo wakati Mwenge wa Uhuru ulipopita kukagua mradi wa Uhifadhi wa Mazingira na Utunzaji wa Vyanzo vya Maji katika Kijiji cha Nyamaisati Wilaya ya Kibiti.Kiongozi huyo amewataka...

Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye ulemavu) Profesa Jamal Katundu (kulia) akipokea zawadi ya vitabu kutoka kwa wafanyakazi wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA) alipotembelea banda la chuo hicho katika maonesho ya NACTVET ya Mwaka 2023 Jijini Arusha.

21May 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mhadhiri Msaidizi wa Chuo cha IJA, Tundonde Mwihomeke akiongea katika banda la chuo hicho kwenye maonesho ya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Sradi (NACTVET) ya mwaka 2023 Jijini Arusha, amesema...

WAZIRI wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Kithure Kindiki.

21May 2023
Nipashe Jumapili
Kindiki alisema jana kuwa kazi ya kutafuta makaburi na kuwafukua waathirika wa  mauaji ya Shakahola imesitishwa."Tulisitisha zoezi hilo ili kuruhusu upangaji wa vifaa vya uchunguzi wa maiti...
21May 2023
Joseph Mchekadona
Nipashe Jumapili
Umesema kukamilika awamu hizo kutasababisha ajira kwa madereva 7,569 ambao watapewa mafunzo, mabasi kwenye mradi huo yatakua 3,290.Meneja Mipango na Usafirishaji wa DART, Mhandisi Mohamed Kuganda,...

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali (IGP) Camillus Wambura.

21May 2023
Godfrey Mushi
Nipashe Jumapili
Alitoa maagizo hayo jana katika Kambi ya Kambapori iliyoko West Kilimanjaro, wilaya ya Siha, wakati wa kufunga mafunzo ya uongozi mdogo jeshini, ngazi ya sajini meja na koplo, iliyowajumuisha zaidi...
21May 2023
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Aliyasema hayo jana Chamwino mkoani hapa wakati akizindua jengo hilo katika hafla iliyohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa wakiwamo marais wastaafu wa awamu zilizopita.“Wale waliokuwa...

Nimrod Mkono.

21May 2023
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Mkono aliyekuwa akitibiwa nchini Marekani tangu mwaka 2018, alifikwa na mauti Aprili 18, mwaka huu. Aliondoka kwenda Marekani wakati bado ni Mbunge wa Butiama na jimbo lilibaki wazi hadi...

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Amos Makalla.

21May 2023
Vitus Audax
Nipashe Jumapili
Mgomo huo ulitikisa mapato ya serikali kutokana na eneo la Kariakoo kuwa kitovu cha biashara, baadhi ya watu wanadai kuwa ndio uliomwondoa na kuhamishiwa Mwanza. Safari hii, wamiliki wa hoteli, baa...
21May 2023
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), ulitangaza kwamba utaratibu wa malipo ya Sh. 50,400 ya huduma ya ‘Toto Afya Kadi’ umeondolewa kuanzia Machi 13, mwaka huu, kwa ambao bima zao...

Pages