NDANI YA NIPASHE JUMAPILI
Afisa Elimu wa Mkoa wa Arusha, Abel Tupwa (aliyeshika mkasi) akikata utepe, kuashiria ufunguzi rasmi wa kituo cha uratibu wa rufaa na usafiri wa dharura (Dispatch Center) cha m-mama katika hospitali ya rufaa ya Mount Meru mkoani Arusha.Wakizindua kwa pamoja, katikati ni Mkuu wa Kanda ya Kaskazini wa Vodacom Tanzania Plc, George Venanty, kulia kwake ni Msimamizi wa Programu ya M-Mama Wizara ya Afya, Jofrey Shayo.






