BIASHARA »
KASI ya kiwango cha mfumko wa bei kwa mwaka ulioishia Februari 2024, imeshuka hadi asilimia 5.10 kutoka asilimia 5.26 iliyorekodiwa Januari 2024.
MKUU wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego, amesema katika uongozi wake hataki kusikia neno...
WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, amewasisitiza wasimamizi wa miradi yote ya ujenzi ya...
Kampuni ya Bima ya Jubilee kwa kushirikiana na Axieva pamoja na Airtel Money wamezindua BIMA...
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za...
WAANDISHI wa habari kutoka mikoa ya Katavi, Rukwa na Songwe wametakiwa kutumia taaluma zao...
Benki ya NMB imenyakua tuzo nne kwenye shindano la mwaka huu la Mwajiri Bora wa Mwaka (EYA 2023...
SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL), limejitosa kubeba gharama za huduma zote za mawasiliano...
Ujumbe kutoka Taasisi ya Uhamasishaji, Uwazi na Uwajibikaji katika Rasilimali Madini na Gesi...
Pages
Picha »
Waziri wa ujenzi na uchukuzi, Prof Makame Mbarawa ameambatana na waziri wa fedha Dr. Mwigulu Nchemba mkoani Kigoma kwaajili ya kutembelea miradi ya maedeleo itakayochangia kuufungua mkoa wa Kigoma.
Balozi wa India nchini, Shri Binaya Srikanta Pradhan (kulia), akipata maelezo kutoka kwa Mhariri Mtendaji wa gazeti la The Guardian, Wallace Maugo (watatu kulia), alipotembelea chumba cha habari cha Kampuni ya The Guardian Ltd (TGL) inayochapisha magazeti ya The Guardian na Nipashe, Mikocheni, mkoani Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mhariri Mtendaji wa gazeti la Nipashe, Beatrice Bandawe na (watatu kushoto) ni Mkurugenzi wa TGL, Joyce Luhanga. PICHA ZOTE: MIRAJI MSALA
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Nipashe, Beatrice Bandawe (kulia), akimkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Moremi Marwa (wapili kushoto), baada ya kuwasili kwenye ofisi za kampuni ya The Guardian Ltd (TGL) inayochapisha magazeti ya Nipashe na The Guardian, Mikocheni, mkoani Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi wa TGL, Joyce Luhanga. PICHA ZOTE: MIRAJI MSALA










