SAFU »

MKUU wa nchi ambaye ni Rais John Magufuli ametangaza rasmi kwamba amekuta ndani ya serikali hali ni mbaya 'imeoza' na kila mahali anapogusa pameharibika kwa rushwa.

NINAYOYAZUNGUMZA hapa hayakutokana na fikra zangu binafsi. Baada ya kuandika maoni yangu juu ya jambo fulani (lakini si katika gazeti hili) msomaji mmoja alinipigia simu kuunga mkono nilichosema...
KWA muda sasa hapa nchini wimbi kubwa la ukamataji wa wahamiaji haramu hususan kutoka nchi za Ethipia na Somalia linakupwa hapa na pale.
‘JIFARAGUA’ ni kitendo cha mtu kufanya jambo kama atakavyo bila kuingiliwa. Kuwa na maringo; jifanya kujua sana.
‘Jikunyata’ ni kitendo cha mtu kutulia na kuonesha hali ya unyonge; jikunja...

NCHI inatarajia 'kusimama' kwa dakika 90 Jumamosi ijayo kupisha mechi ya watani wa jadi Simba na Yanga itakayochezwa kwenye Uwanja wa Taifa.
.jpg?itok=nfwjwDzv)
MPENZI msomaji, safu hii haiishiwi vituko. Wiki iliyopita kituko chetu kilibeba kichwa cha maneno ‘Nilimsomesha, amepata kazi akanitosa! Nifanyeje?’ Jamaa bado anashangaa imekuwaje mwenzake...

TANZANIA ina ardhi yenye ukubwa wa hekta milioni 94.5, kwa ajili ya matumizi ya kilimo, ufugaji, makazi, hifadhi na matumizi mengine, lakini bahati mbaya migogoro ya ardhi ni tishio kubwa la amani...
Mzunguko wa hedhi ni mpangilio wa mabadiliko yanayotokea katika mwili wa mwanamke kwa lengo la kuandaa mwili kwa hali ya ujauzito unaoweza kutokea. Kila mwezi katika mwili wa mwanamke ovari moja...

RAIS Dk. John Magufuli, ametimiza siku 100 za kuwa madarakani baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 mwaka jana, alipopata ridhaa ya wananchi wengi kupitia sanduku la kura.

Baada ya kuzinyaka kuwa binti wa kilevi amefanyiwa kitu mbaya kule ugabacholini, Mlevi anatishia kuingia kwa fosi Bangalole ili awasake wabaguzi waliomfanyia kitu hii na kuwatia aibu.

SUALA la kubadilisha rangi ya mwili limekuwa na mjadala mrefu katika nchi mbalimbali duniani.
LICHA ya Mahakama kuwa chombo cha kisheria kinachosimamia mashitaka, na kuyatolea hukumu, pia ni moja ya mihimili mitatu ya nchi, mingine ikiwa Bunge na Serikali.
KUJADILI siku 100 za Rais Magufuli, duniani kote haswa hii ya leo ambayo ina malengo 17, ni suala la ushirikishanaji.
Katika kushirikishana, ni lazima kuweka utaratibu, na ukishaweka...






