Akizungumza na gazeti hili, Ben Pol alisema wimbo huo ameutambulisha jana siku ambayo Tanzania inasherehekea uhuru wake ambao ulipatikana Desemba 9, mwaka 1961.......kwa habari zaidi fuatilia https://epaper.ippmedia.com
Ben Pol akiweka 'Kidani' videoni
10Dec 2020
Na Mwandishi Wetu
Dar es Salaam
Nipashe
Ben Pol akiweka 'Kidani' videoni
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Behnam Paul a.k.a Ben Pol, ameachia video ya wimbo uitwao Kidani ambao amemshirikisha mkewe Anerlisa, ameeleza.
Behnam Paul a.k.a Ben Pol