MAONI YA MHARIRI »

08Jan 2021
Nipashe

DESEMBA 18, mwaka jana serikali ilitoa agizo kwa halmashauri zote nchini kuhakikisha ujenzi wa vyumba vya madarasa unakuwa endelevu kwa sababu...

07Jan 2021
Nipashe

KATIKA toleo letu la jana kulikuwa na taarifa ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kuwaonya baadhi ya waajiri wanaoshirikiana na...

06Jan 2021
Nipashe

MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafirishaji Nchi Kavu (LATRA) imeagiza mabasi ya wasafirishaji abiria kuanza kutoa huduma ya kuuza tiketi kwa mfumo wa...

05Jan 2021
Nipashe

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali (IGP) Simon Sirro, jana alitoa tathmini ya utendaji kazi wa askari wa Kikosi cha Usalama...

04Jan 2021
Nipashe

wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya kimataifa, Simba na Namungo keshokutwa watashuka dimbani katika viwanja tofauti ndani na nje ya nchi...

01Jan 2021
Nipashe

HONGERA kwa mwaka mpya wa 2021 watangazaji na wasomaji wetu wa Nipashe. Tunawapenda na kuwashukuru tunawahakikishia kuwa tutaendelea kuwahudumia...

31Dec 2020
Nipashe

KWA muda mrefu kumekuwa na kilio cha wastaafu kucheleweshewa mafao yao, huku sababu za tatizo hilo zikielezwa kuwa ni waajiri kutokuwasilisha...

30Dec 2020
Nipashe

UCHAFUZI wa mazingira upo wa aina mbalimbali, lakini unaoleta athari kubwa duniani na kusababisha mabadiliko ya tabia nchi ni ukataji miti ovyo....

29Dec 2020
Nipashe

TAARIFA za kesi za kunajisi mtoto kuondelewa mahakamani kwa ukaidi wa mashahidi zilizochapishwa na gazeti letu leo, zinatulazimisha kuomba...

28Dec 2020
Nipashe

WAWAKILISHI wa Tanzania Bara katika michuano ya kimataifa, Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika, Simba na Namungo FC, bado wanakabiliwa...

Pages