MAONI YA MHARIRI »
JUMAMOSI wiki hii, nyasi za Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam zinatarajiwa kuwaka moto kwa mpambano wa watani wa jadi, Simba na Yanga.
TANGU serikali ya awamu ya tano ilipotangaza kutoa elimu ya bure kwa elimu ya msingi na sekondari, zimeibuka changamoto kadhaa hususani katika...
MATOKEO ya kupangwa ya mechi mbili za Ligi Daraja la Kwanza kati ya Geita Gold ya Geita dhidi ya JKT Kanembwa na Polisi Tabora dhidi ya JKT Oljoro...
Kumekuwa na shauku kubwa ya wananchi kujua kilichofanywa na Serikali hii ya awamu ya tano katika siku zake 100 za mwanzo, ni shauku ya haki...
LEO, timu za Yanga na JKU ya Zanzibar zinaanza kuiwakilisha nchi katika mashindano ya kimataifa Klabu Bingwa Afrika.
JKU watakuwa nyumbani,...
RAIS Dk. John Magufuli, leo ametimiza siku 100 madarakani tangu alipoapishwa kushika nafasi hiyo Novemba 5, mwaka jana.
MIGOGORO ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji katika Wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro, imeeendelea kutishia usalama wa jamii za makundi hayo...
MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Yanga, wanaondoka leo kuelekea nchini Mauritius kwa ajili ya mechi ya kwanza ya hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa...
SABABU kubwa ambayo imekuwa ikitolewa kwa miaka mingi na Mahakama ya Tanzania kuwa ni kikwazo cha kutokamilisha mashauri kwa wakati, ni ufinyu wa...
SERIKALI imewataka makandarasi waliosimamisha kazi za ujenzi wa miradi mbalimbali kurejea kazini, baada ya kuanza kuwalipa madai yao ya muda mrefu...






