MAONI YA MHARIRI »
LEO wanawake nchini wanaungana na wenzao duniani kuadhimisha siku ya Wamawake Duniani. Siku hiyo huadhimishwa Machi 8, kila mwaka kwa wanawake...
WAKATI Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipokutana na viongozi wa vyama mbalimbali vya michezo hivi karibuni jijini Dar es Salaam, alizungumza mengi...
BAADA ya kuitoa Cercle de Joachim ya Mauritius kwa ushindi wa jumla wa mabao 3-0 katika Raundi ya Awali ya mchujo Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga...
Katika tukio ambalo linaweza kuelezwa kuwa la aibu zaidi katika historia ya utendaji kazi wa mawaziri nchini, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu...
JANA Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) lilitangaza ratiba ya raundi ya sita (robo-fainali) ya michuano ya Kombe la Shirikisho (FA) huku...
KATIKA toleo letu la jana, tulichapisha habari kuhusu chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali Teule ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani Tumbi kwamba...
HALMASHAURI kadhaa nchini, zimeingia katika migogoro ya kisiasa, baada ya kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana.
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni na viongozi wa vyama vya usafirishaji abiria jijini Dar es Salaam, wamekubaliana kuwa walimu wa shule za msingi na...
KESHO, viongozi wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), watakutana katika mkutano wao wa kawaida wa mwaka jijini Arusha
Rais wa Tano, John Magufuli, ameishi katika nyingi ya ahadi zake za wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka jana, na elimu bure...






