MAONI YA MHARIRI »
SERIKALI imesema kuwa watu 3,000 wametiwa mbaroni nchini kwa tuhuma za kuhusika na biashara ya dawa za kulevya.
SERIKALI imebainisha kwamba kuna uozo wa watumishi hewa katika halmashauri nyingi nchini, hali ihayosababisha serikali itumia fedha nyingi...
UCHAGUZI wa marudio Zanzibar wa rais, wawakilishi na madiwani, unatarajiwa kufanyika Jumapili ijayo.
RAIS John Magufuli, ameendelea na mchakato wa kuunda serikali yake kwa kuteua wakuu wa mikoa.
MWISHONI mwa wiki timu za Azam na Yanga zilifanya vizuri katika mechi za kimataifa ugenini huku JKU ya Ligi Kuu ya Zanzibar ikikumbana na kipigo...
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI), George Simbachawene, juzi alimwagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, kuitisha...
SAFARI ya timu za Tanzania kusaka mataji ya klabu Afrika, inaendelea tena leo kwa Yanga na Azam FC kurusha karata zao ugenini.
ZIARA ya Rais wa Vietnam, Truong Tan Sang, nchini imebainisha kwamba Tanzania ina mambo mengi ya kuiga kutoka nchi hiyo na kwamba ikiyafanyia kazi...
KATIKA toleo letu la jana tulichapisha habari ikieleza kuwa hali ya huduma katika hospitali za rufani na za mikoa ni mbaya.
KATIKA toleo letu la jana tulichapisha habari ikieleza jinsi ajali nyingi za barabarani zinavyowaathiri wanaume vikiwamo vifo na ulemavu.






