SAFU »
‘UTI’ ni maambukizi katika njia au mfumo wa mkojo ni kifupisho cha maneno ya kitaalamu ya Urinary Tract Infection. Maambukizi haya hutokea katika sehemu yoyote ya mfumo wa mkojo kama figo, kibofu...
.jpg?itok=nfwjwDzv)
MPENZI msomaji, wiki iliyopita tulimsikia jinsi Jane Mwisenge, raia wa Burundi alivyotoa ushuhuda wake wa uvutaji sigara kupindukia. Alianza na vipisi viwili vilivyoisha vya sigara,

KWA kweli ni aibu na fedheha kuona barabara zilizojengwa kwa gharama kubwa, zikigeuzwa dampo la kutupa taka.
Tabia hii ya kutupa taka katikati ya barabara, ilianza kuibuka taratibu, lakini...
MILIPUKO ya mabomu ya kutengenezwa kienyeji imekuwa ni kitu cha kawaida mjini Zanzibar lakini kinachoshangaza wahusika wa vitendo hivyo hawakamatwi.

Viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki walikutana jijini Arusha mapema wiki hii na kuamua mambo mbalimbali, ikiwamo kupiga marufuku uagizaji wa bidhaa za mitumba ili kuinua...
NASHINDWA kupata picha sahihi au uhusiano uliopo kati ya Shirikisho la Soka Nchini (TFF) na klabu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam.
KUTOKANA na baadhi ya wanasheria na wataalamu kutumiwa na mafisadi kama nepi na kuingia mikataba michafu kama ule wa IpTL na TANISCO, Mlevi, kwa akili zangu timamu, bila kulazimishwa na yeyote wa...
Tunaendelea tena wapenzi wasomaji wa safu hii ya ‘Mtazamo wa Kibiashara’ na mada inayohusu uwekezaji kwenye hati fungani au dhamana za serikali kwa lugha nyingine.
KUMEKUWA na uwekezaji mkubwa unaofanywa barani Afrika na wawekezaji wa nje ya bara hili ambao wanamilikishwa maeneo makubwa ya ardhi kwa miaka 99 tena wakiendesha kilimo cha mazao ya biashara kama...

KWANZA kabisa nilipongeze Jeshi la Polisi kwa kazi kubwa ambayo limekuwa likifanya ili kuhakikisha raia wa Tanzania na mali zao wanakuwa salama, hasa kutokana na ukweli kwamba kazi ya msingi ya...

ZAIDI ya nusu ya Watanzania ni watoto. Hivi sasa, kuwekeza kwa watoto kunanufaisha familia zetu, jamii zetu na ni kwa mustakabali wa Tanzania.
TABIA ya unyanyasaji wa kijinsia katika sehemu za kazi limekuwa sugu hapa nchini, jambo ambalo linalofanya mashirika, asasi za kiraia na vyama mbalimbali vya wafanyakazi kuendesha semina na...

KUNA malalamiko mengi kutoka makundi maalum katika jamii yanayowahusisha wanawake, watu wenye ulemavu na vijana kwamba hawatendewi haki wakati wa uchaguzi.






