NDANI YA NIPASHE LEO

SPIKA wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar  Zubeir Ali Maulid.

05Feb 2024
Thobias Mwanakatwe
Nipashe
.. nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu ili chama kiweze kuibuka na ushindi mkubwa.Alisema hayo jana mkoani Singida wakati akizungumza na wananchi na...
05Feb 2024
Ashton Balaigwa
Nipashe
- ni wa kupongezwa kwa hatua iliyofikiwa kwa kuanza kuzalisha sukari nchini.Pongezi hizo zimetolewa na wajumbe wa Kamati hiyo, walipofanya ziara katika kiwanda cha kuzalisha sukari cha Mkulazi...

Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Jabiri Bakari.

05Feb 2024
Mary Geofrey
Nipashe
Hali hiyo inatokana na kuwa na uelewa mdogo wa matumizi ya TEHAMA, kutofahamu kanuni za kiusalama, kutotii kanuni au maelekezo ya matumizi salama wakiwa kwenye mtandao.Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Jabiri...

Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Morogoro, Manyama Tungaraza.

05Feb 2024
Christina Haule
Nipashe
-ubadhilifu wa shilingi milioni 90 za ujenzi kwenye Kijiji cha Mlilingwa wilayani Morogoro.Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Morogoro, Manyama Tungaraza amesema hayo katika taarifa yake ya utekelezaji wa kazi...

Mwenyekiti wa Bodi ya shule za St Marys Dallas Mhoja akimpa cheti na zawadi ya fedha taslim mwalimu wa shule ya sekondari St Mary’s Mbezi Beach Angel Focus, baada ya shule hiyo kufanya vizuri kwenye mkitihani ya kidato cha nne kufanikiwa kutoa wanafunzi wengi wa daraja la kwanza na daraja la pili. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa bodi, John Kibona.

05Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hafla ya kuwapongeza wanafunzi hao ilifanyika jana kwenye maeneo ya shule hiyo, Mbezi Beach na kuhudhuriwa na wazazi na wanafunzi waliomaliza kidato cha nne.Zawadi walizopewa wanafunzi hao ni pamoja...
05Feb 2024
Christina Mwakangale
Nipashe
​​​​​Watoto hao ni wakazi wa Makole, mkoani Dodoma.Bingwa wa Magonjwa ya Dharura hospitali hiyo, Dk. Asha Iyulla amesema wameanza kuwafanyia vipimo vya awali ikiwamo kuwapima uzito.Amesema wamebaini...
05Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
*Dk. Kiruswa Ataka Sera ya Pamoja Kuendeleza Madini Afrika, Ushirikiano wa Serikali, Sekta Binafsi Wasisitizwa Kukuza uchumi kupitia Madini, *Majadiliano Yatawala Shughuli za Utafiti wa Madini, Uongezaji Thamani, Kuendeleza Wataalam
Dk. Kiruswa amepata fursa hiyo katika Kongamano la Mawaziri wanaosimamia Sekta za Madini kwa nchi za Afrika zinazotarajia kushiriki Mkutano wa Uwekezaji wa Mining Indaba unaoanza Februari 5 hadi 8,...
03Feb 2024
Ashton Balaigwa
Nipashe
Wanafunzi hao  wote ni  familia moja  ya Simon   Zongo  na mkewe Neema Kenge (39) wenye watoto 13 kati ya waliowazaa 15 na  mkazi wa Mtaa wa Mgonahazeru ,Kata ya...

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Christina Mndeme akikagua gwaride pamoja na kuwatunuku vyeti vya pongezi Askari Polisi waliofanya vizuri mwaka jana

03Feb 2024
Marco Maduhu
Nipashe
Sherehe hizo zimefanyika leo Februari 3,2024 katika viwanja vya Jeshi la Polisi Kambarage na kuhudhuriwa na wananchi, Falimia za Polisi huku Mgeni Rasmi akiwa ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Christina...

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama.

03Feb 2024
Godfrey Mushi
Nipashe
Sambamba na hilo, serikali imeridhia kuondolewa kwa kipengele kilichokuwa kinataka Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC kuwa Katibu wa Sekretarieti ya Kamati ya Usaili.Aidha, serikali imeridhia kifungu cha...
03Feb 2024
Francis Godwin
Nipashe
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Iringa, Elvin Mgeta, alisema hukumu hiyo itatolewa saa 5:00 asubuhi baada ya kusikiliza pande zote mbili za mkata rufani na Jamhuri.Kesi hiyo ilisikilizwa jana...
03Feb 2024
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Akizungumza na kituo cha Radio One, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule, alisema kituo hicho kitakapoanza kitaruhusu kuingia kwa magari yaliyosajiliwa na yenye ubora uliothibitishwa na Mamlaka...
02Feb 2024
Beatrice Shayo
Nipashe
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, alitoa agizo hilo leo baada ya wananchi kuilalamikia barabara hiyo ambayo inajengwa kwa kiwango cha lami. Makonda...

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Christina Mndeme akizundua na kukabidhi nyumba kwa waathirika bwawa la Majitope Mgodi wa Almasi Mwadui.

02Feb 2024
Marco Maduhu
Nipashe
Zoezi hilo la uzinduzi na kukabidhi nyumba hizo kwa wananchi limefanyika leo Februari 2,2024 Mahali ambapo zimejengwa baadhi ya nyumba hizo katika Kijiji cha Mwang'olo Kata ya Mwadui Luhumbo...
02Feb 2024
Neema Hussein
Nipashe
Mrindoko ameyasema hayo wakati akizindua jukwaa la wanawake mkoani Katavi ambapo amesema ni muhimu wanawake hao kutumia haki yao ya kikatiba ya kuchagua,kuchaguliwa na kudumisha amani kipindi chote...

Nungwi, Zanzibar.

02Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Khamis Hamza Khamis, alibainisha hayo jana wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Nungwi, Simai Hassan Sadiki.Mbunge huyo alitaka...
02Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Waziri January amewaeleza wafanyabiashara na wawekezaji wa Italia fursa mbalimbali za biashara zinazopatikana nchini  pamoja na mageuzi makubwa ya kuboresha mazingira ya uwekezaji yanayofanyika...

Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi.

01Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
-baada ya mabomu ya Gongolamboto lakini alimwambia ile ni ajali na hana sababu ya kijiuzulu.Rais Mwinyi amesema hayo leo Februari Mosi, 2024 wakati akiwaapisha Mawaziri wapya wateule wa Serikali ya...

Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara, (CBE) Profesa Edda Lwoga akizungumza na waandishi wa habari kuhusu chuo hicho kuanzisha kozi za Shahaza za Umahiri mtandaoni (online masters degree) kwa fani sita. Kushoto ni Dk Shima Banele ambaye ni Mkurugenzi wa Taaluma na kulia ni Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Taaluma, Utafiti na Ushauri, Dk William Gomera.

01Feb 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Mkuu wa Chuo hicho, Profesa Edda Lwoga wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kuanzishwa kwa kozi hizo.Amesema  CBE imekuwa ikitoa Shahada za...

Balozi wa Japan nchini, Yasushi Misawa kulia akibadilisha hati na Mwakilishi Mkazi wa UNFPA Tanzania, Mark Bryan Schreiner, baada ya kusaini makubaliano ya utekelezaji wa mradi huo. PICHA: SABATO KASIKA

01Feb 2024
Sabato Kasika
Nipashe
Mradi huo wa mwaka mmoja unaoratibiwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) Tanzania, unahusisha pia maeneo ya jirani na kambi hizo katika wilaya za Kibondo na Kasulu....

Pages