NDANI YA NIPASHE LEO

25Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Maonesho hayo ya kipekee yamekwenda zaidi ya kuonesha magari na badala yake yamekuwa jukwaa la kuelimisha washiriki undani wa teknolojia za kisasa zinazotumika katika chapa maarufu kama Mercedes-Benz...

mfanyabiashara Frank Kalage.

25Jan 2024
Grace Gurisha
Nipashe
-mfanyabiashara Frank Kalage. Washtakiwa wengine ni Awadhi Mhavile, Ally Msesya maarufu kama Ally Yanga (37) mafundi wa mashine za EFD na Salma Ndauka (38) msimamizi wa gereji. Mshtakiwa Kalage...
25Jan 2024
Nipashe
Watu hao walikamatwa mwaka wa 2021 walipokuwa wakifanya mazoezi ya silaha katika eneo la ufyatuaji risasi mjini Accra na baadaye kwenda kwenye eneo ambapo waliamuru silaha hizo zikarabatiwe kulingana...
25Jan 2024
Daniel Limbe
Nipashe
-kufika wilayani humo kujionea mwenyewe.Nipashe Digital imezungukia baadhi ya wafanyabiashara wadogo wa sukari na kubaini sukari kilo moja kuuzwa kwa shilingi 3800, 3900 hadi 4,000 kwa ile ya pakiti...
25Jan 2024
Daniel Limbe
Nipashe
Kwa kujibu wa Mkuu wa Wilaya hiyo, ujenzi wa shule hiyo ulipaswa kamilika mapema Januari 16, mwaka huu na kwamba zaidi ya milioni 811 zilizotolewa na serikali kwa lengo la kupunguza adha ya wanafunzi...
24Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na wanahabari, Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano DAWASA Everlasting Lyaro ameeleza ya kuwa  vituo hivi vinatajwa kuwa vinara wa usafi wa  Mazingira na kutoa wito kwa...
24Jan 2024
Beatrice Shayo
Nipashe
Makonda ameyasema hayo leo wakati akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Monduli mkoani Arusha wakati akiendelea na ziara yake ya ukaguzi wa utekelezaji wa ilani ya uchaguzi na kutatua kero za wananchi...

MKUU wa Mkoa wa Shinyanga, Christina Mndeme.

24Jan 2024
Marco Maduhu
Nipashe
Mndeme ametangaza Operation hiyo leo Januari 24, 2024 wakati akizungumza kwenye kikao na wazee, machifu na viongozi wa dini mkoani humo.Amesema kutokana na wazee mkoani humo kulalamikia biashara ya...

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI  Mohamed Mchengerwa.

24Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mchengerwa ameyasema hayo leo  Januari 24, 2024 kwenye kikao kazi chake na Menejimenti ya TARURA, Makatibu Tawala Wasaidizi (Miundombinu), Makandarasi Wazawa,Wataalamu Washauri na Taasisi za...

Sanjeti Njile Shija.

24Jan 2024
Shaban Njia
Nipashe
Kaimu Mkuu wa dawati hilo katika Halmashauri ya Manispaa ya Kahama, Sanjeti Njile Shija ametoa wito huo leo wakati wa ufunguzi wa kilele cha wiki ya sheria ambacho kinakwenda sambamba na utoaji wa...

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML), Terry Strong akimtunuku cheti Julieth Lwehabura - mmoja wa wanafunzi 50 wa vyuo vikuu walioshiriki katika programu ya mafunzo kwa vitendo kwa mwaka 2023. Wanaoshuhudia kushoto ni Meneja Mwandamizi Rasilimali Watu, Charles Masubi (kushoto) na Meneja wa Mafunzo na Maendeleo Dominic Marandu (kulia).

24Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wanafunzi hao ambao 30 ni wa kike na 20 wa kiume, waliopokewa Februari mwaka jana, wameagwa mwishoni mwa iliyopita mkoani Geita.Hata hivyo, kati yao 15 wamefanikiwa kubaki ndani ya kampuni hiyo...
24Jan 2024
Julieth Mkireri
Nipashe
Pia wametakiwa kuimarisha misingi ya uchumi wa Mataifa pamoja na kuimarisha vyama vyao na vingine. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Mohamed Said...
24Jan 2024
Christina Mwakangale
Nipashe
Ugonjwa huo ambao umeenea kwa siku za hivi karibuni, ikiwamo mkoani Dar es Salaam, huambukizwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.Mtaalamu wa macho kutoka hospitali hiyo, Martin Jacob amesema...
23Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Meneja wa Mahusiano ya Umma wa SBL, Neema Temba, amekiri kuwa ust, "Hatua hii inaonyesha dhamira ya SBL katika elimu, uendelevu, na ukuaji wa sekta ya kilimo nchini Tanzania wakati ikihakikishia...

Mohammed Dewji.

23Jan 2024
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
*Apawezesha ajira 40,000 toka ajira 35,000 za mwaka jana
Katika orodha yake mpya ya mabilionea barani Afrika, Forbes imemtaja Mo Dewji, Rais wa kampuni za  Mohammed Enterprise Tanzania Ltd (MeTL), amepanda hadi nafasi ya 12 kutoka nafasi ya 13 ya...
23Jan 2024
Julieth Mkireri
Nipashe
Kati ya kaya hizo moja ni nyumba ya mwalimu wa shule ya Msingi Kwamduma ambayo nayo paa lake limeezuliwa na hivyo familia ya mwalimu huyo kulazimika kuhamia kwenye nyumba za walimu wengine.Diwani wa...
23Jan 2024
Maulid Mmbaga
Nipashe
Waziri huyo ametoa pongezi hizo jana baada ya kutembelea mradi huo uliopo Rufiji mkoani Pwani akifuatana na mwenyeji wake, Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga.Amesema serikali ya Tanzania imepiga...
23Jan 2024
Beatrice Shayo
Nipashe
Bingwa wa Magonjwa ya Mapafu na Mfumo wa Upumuaji, Hospitali ya Taifa Muhimbili Dk. Mwanaada Kilima amesema mtoto huyo alipaliwa na skrubu hiyo siku nne zilizopita iliingia kwenye mapafu yake na...
23Jan 2024
Shaban Njia
Nipashe
Viongozi hao ni pamoja na Kamati ya siasa ya chama cha Mapinduzi (CCM) Kahama, Kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya, Watendaji wa kata, watendaji wa mitaa na vijiji, Kamati ya amani, Maaofisa Tarafa...

Mlango wa kanisa la Mennonite Jimbo la Chato uliovunjwa.

23Jan 2024
Daniel Limbe
Nipashe
Akizungumza na Nipashe Digital, Mchungaji kiongozi wa kanisa la Mennonite Jimbo la Chato, Steven Msula amesema watu hao ambao mpaka sasa hawajajulikana wamevunja mlango wa kanisa na kuiba vifaa vya...

Pages