Hall amesemaPrisosnnitimungumu, lakiniwanajuanamnayakuifunga. “Hata Dar es Salaam walitusumbua, nanikawaidamarazotehuwawanatusumbua, lakinitutawafunga,”amesema Hall.
Hatahivyo, kochahuyowazamaniwaSofapakaya Kenya amesikitikakatikamchezowaleoatamkosakiungo wake mkabaji, Himid Mao ambayeatakuwaanatumikiaadhabuyakaditatuzanjano.
Lakinihakunashaka, kiungoraiawa Ivory Coast, Kipre Michael BalouatazibapengohilovizurikeshoUwanjawaSokoine.
NahodhahuyoMsaidiziwaAzam FC alionyeshwakadiyatatuyanjanoJumamosimjini Mbeya, wakatitimuhiyoikiibukanaushindiwamabao 3-0 dhidiya Mbeya City.
HimidambayeatarudiuwanjanikwaajiliyamchezowaKombe la FA dhidiyaPanoneJumapiliUwanjawaUshirikamjini Moshi, atakuwahurukucheza pia kwenyemchezomkaliwaLigiKuudhidiya Yanga Machi 5.
WachezajiwenginewaAzam FC watakaoendeleakuikosamechihiyonimabekiAggrey Morris, Abdallah Kherina Racine Dioufpamojanamshambuliaji Didier Kavumbagu, waliokuwamajeruhiwakiendeleanamaandaliziyamwishokurejeauwanjani.
Azam FC inahitajiushindikatikamchezowakeshoilikurejeakilelenimwaLigiKuu, kwaniitafikishapointi 48 nakuwapikumabingwawatetezi, Yanga wenyepointi 46.










