MAONI YA MHARIRI »
TANGU Jamal Malinzi aingie madarakani kuiongoza TFF mwishoni mwa Oktoba 2013, mwanasheria Damas Ndumbaro ndiye mwanachama wa shirikisho hilo la...
SERIKALI ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais John Magufuli, imeamua kutumia mfumo wa ‘Cash Budget (kutumia kilichokusanywa).
MATUKIO ya ujambazi wa kutumia silaha yameibuka kwa kasi jijini Dar es Dar es Salaam na kutishia usalama wa raia na mali zao.
JANA tulichapisha habari iliyoeleza kuwa Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), limeagiza kusitishwa kwa ugawaji wa vyeti vya kidato cha sita kwa...
MOJA ya maeneo ambayo yamekuwa yakisababisha serikali kukosa mapato yake ni biashara ya magendo.
KAULI ya Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi kwamba, wamejipanga kuhakikisha Tanzania inacheza fainali za Kombe la Dunia...
Wakati Serikali ikiendelea kupanua wigo mpana kwa wananchi kupata elimu ili kupambana na soko la ajira katika fani mbalimbali, ina wajibu mkubwa...
YANGA itakuwa mwenyeji wa Simba kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam katika mechi ya pili ya watani wa jadi msimu huu wa Ligi Kuu Tanzania...
SERIKALI imebaini ubadhirifu wa Sh. bilioni 3.23 za mikopo ya wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu uliofanywa na uongozi wa Bodi ya Mikopo ya...
UGONJWA wa kipindupindu ambao ulilipuka mwaka jana, umeendelea kuwa tishio nchini kutokana na kuripotiwa kwa wagonjwa wapya na kuongezeka kwa vifo...






