SAFU »
TANGU Kocha Mkuu wa timu ya taifa Taifa Stars, Charles Boniface Mkwasa alipomteua mchezaji bora Afrika kwa wachezaji wa ndani Mbwana Samatta kuwa nahodha mpya wa timu ya taifa kumekuwa na mijadala...
MICHUANO ya 10 ya Kombe la Mapinduzi ilimalizika wiki iliyopita huku klabu ya URA ikitwaa ubingwa baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar....
KWANZA kabisa napenda kumpongeza Rais wa Awamu ya Tano, Dk.John Magufuli kwa uamuzi wake wa kutoa elimu bure kuanzia madarasa ya awali hadi kidato cha nne.
FOLENI katika mataa ya kuongoza magari eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam yawezekana ni sugu kuliko maeneo mengi ya jiji hilo.
RAIS John Magufuli baada ya kuingia Ikulu, alipiga marufuku watendaji wa serikali kufanya safari za nje ya nchi zisizokuwa na tija kwa taifa.
TANZANIA imepata heshima kubwa duniani baada ya mchezaji wake Mbwana Samatta kuchaguliwa kuwa mchezaji bora wa Afrika kwa wachezaji wanaocheza soka ndani.
KWA muda mrefu sasa sekta ya afya imekuwa miongoni mwa maeneo yasiyopewa kipaumbele kwa vitendo, licha ya umuhimu wake kwa mfumo, maisha na shughuli tofauti za binadamu.
Mpenzi msomaji, HERI ya MWAKA MPYA! Naamini kwa kudra za Mwenyezi Mungu umeuona mwaka mpya wa 2016. Tuendelee kumshukuru Mungu kwani yeye ndiye aliyeubeba uhai wetu. Tumhimidi na tumpe sifa zote...