BIASHARA »
KASI ya kiwango cha mfumko wa bei kwa mwaka ulioishia Februari 2024, imeshuka hadi asilimia 5.10 kutoka asilimia 5.26 iliyorekodiwa Januari 2024.
MKUU wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego, amesema katika uongozi wake hataki kusikia neno...
WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, amewasisitiza wasimamizi wa miradi yote ya ujenzi ya...
FURSA ya biashara ya zao la mhogo imezidi kukukua kwa wawekezaji kutoka nchini China, kutaka...
MBINU mpya ya wizi wa mapato inatumika katika kivuko cha Kigambo jijini Dar es Salaam na baadhi...
ZAIDI ya Sh. Milioni 38 zikiwamo fedha taslimu, ahadi, hundi pamoja na mifuko ya saruji tani...
HALMASHAURI mkoani Njombe zimetakiwa kutumia mifumo ya ukusanyaji wa kodi ili kuinua mapato ya...
MADIWANI wa Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam, wameunda timu maalumu kwa lengo la kukutana...
WAFANYABIASHARA mkoani Rukwa wameiomba serikali kuacha kufunga mipaka kwa lengo la kuzuia...
Pages
Picha »
Waziri wa ujenzi na uchukuzi, Prof Makame Mbarawa ameambatana na waziri wa fedha Dr. Mwigulu Nchemba mkoani Kigoma kwaajili ya kutembelea miradi ya maedeleo itakayochangia kuufungua mkoa wa Kigoma.
Balozi wa India nchini, Shri Binaya Srikanta Pradhan (kulia), akipata maelezo kutoka kwa Mhariri Mtendaji wa gazeti la The Guardian, Wallace Maugo (watatu kulia), alipotembelea chumba cha habari cha Kampuni ya The Guardian Ltd (TGL) inayochapisha magazeti ya The Guardian na Nipashe, Mikocheni, mkoani Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mhariri Mtendaji wa gazeti la Nipashe, Beatrice Bandawe na (watatu kushoto) ni Mkurugenzi wa TGL, Joyce Luhanga. PICHA ZOTE: MIRAJI MSALA
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Nipashe, Beatrice Bandawe (kulia), akimkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Moremi Marwa (wapili kushoto), baada ya kuwasili kwenye ofisi za kampuni ya The Guardian Ltd (TGL) inayochapisha magazeti ya Nipashe na The Guardian, Mikocheni, mkoani Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi wa TGL, Joyce Luhanga. PICHA ZOTE: MIRAJI MSALA










