Amesema Nandy ni mmoja wa mwanamuziki wa kike mwenye mafanikio na ni lazima wasanii wa kiume kuwasaidia ili kutimiza malengo yao.
“Ukweli ni kwamba tuna wasanii wachache wa kike wenye mafanikio, ni muhimu kuwasaidia ili wawe wakubwa na kutimiza ndoto zao,” amesema Fid Q










