Wanafunzi hao waliojitoleza kwa wingi walionekana kupagawa na shoo ya Nandy kiasi cha kumwomba arudie baadhi ya nyimbo.
Akizungumza katika uzinduzi wa bia hiyo mpya,meneja chapa wa kampuni ya bia ya Serengeti Ester Raphael alisema Guinness Smooth sasa itapatikana kwa wingi katika eneo la kanda za juu kusini kwa shilingi 1,500 tu.

.jpeg)











