NDANI YA NIPASHE JUMAPILI
24Apr 2016
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Kabla ya baraka hiyo kuanza baadhi ya barabara zilikuwa na mashimo ambayo moja kwa moja hayajachangiwa na mvua bali miundombinu iliyojengwa chini ya kiwango.Mbaya zaidi barabara nyingine...
24Apr 2016
Ibrahim Mkamba
Nipashe Jumapili
maarufu kama ya daraja au ya ghorofa (flyover) eneo la TAZARA na pili ni daraja la Mwalimu Julius Nyerere linalounganisha Kigamboni na sehemu nyingine ya Dar, uzinduzi huo ulifanywa na Rais John...
24Apr 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
Endapo Yanga na Azam FC zitashinda mechi zao za leo, basi zitakutana katika mchezo wa fainali ya michuano hiyo iliyorejeshwa tena msimu huu baada ya kusimama tangu mwaka 2002.Coastal Union ilifika...
24Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Banda alitofautiana na kocha wake, Jackson Mayanja na kuamua kumuweka nje ya kikosi hicho kwa muda usiojulikana.Akizungumza jana, Afisa Habari wa Simba, Haji Manara, alisema kuwa sula hilo...
24Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Donald Ngoma bado anatakiwa na timu inayoshiriki Ligi Kuu ya Yugoslavia.Taarifa ambazo Nipashe imezipata jana jijini Dar es Salaam zinaeleza kwamba bado klabu hiyo inamuhitaji Ngoma na inawataka...
24Apr 2016
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
Mbao FC imepandishwa ligi kuu baada ya kamati ya Nidhamu ya TFF kuzishusha daraja timu nne za kundi hilo kwa tuhuma za kupanga matokeo.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TFF kupitia kwa Afisa...
24Apr 2016
Sanula Athanas
Nipashe Jumapili
...Yaunda kikosi kazi chenye wabunge 4 upinzani, ripoti kuanikwa Bunge zima
Baada ya mvutano wa karibu mwezi mzima baina ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) na Wizara ya Mambo ya Ndani juu ya mkataba huo, sasa kamati hiyo imeunda Kamati Ndogo kuuchunguza...
24Apr 2016
Sanula Athanas
Nipashe Jumapili
amesema serikali haikukosea kuipa Wizara ya Ujenzi fedha zaidi ya zilizokuwa zimeidhinishwa na Bunge.
Hoja hiyo ni moja kati ya tatu ambazo juzi ziliibuliwa bungeni na Kiongozi wa Kambi...
24Apr 2016
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Akichangia hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, kwa mwaka wa fedha 2016/17, Kessy ambaye aliwahi kupendekeza mafisadi wauawe na makaburi yao yawekwe minyororo katika Bunge lililopita, alisema...
24Apr 2016
Joseph Mwendapole
Nipashe Jumapili
Vyanzo mbalimbali vililithibitishia Nipashe kuwa ni dhahiri mke huyo wa Rais hatafanya kama walivyowahi kufanya wenzake.
“Kwa sasa hakuna dalili zozote za kuanzisha taasisi na nadhani hata...
24Apr 2016
Sanula Athanas
Nipashe Jumapili
Dk. Mpango aliyasema hayo wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mwongozo wa Usimamizi wa Rasilimali za Umma, iliyofanyika kwenye jengo la wizara hiyo mjini hapa jana.
Kabla ya kuuzindua mwongozo huo, Dk...
24Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kauli hiyo ilitolewa jana na Katibu Mkuu wa chama hicho Dk. Vicent Mashinji, wakati alipokuwa akifungua kongamano la Baraza la Vijana Chadema (Bavicha) na Umoja wa wanachadema Vyuo vikuu (Chaso)...
17Apr 2016
Gurian Adolf
Nipashe Jumapili
Michael anatuhumiwa kumpiga Shukuru Korongo (32) na kumsababishia maumivu na baadaye marehemu huyo kufariki dunia, wakati wakigombea viroba kwenye sherehe ya jirani yao.
Kaimu Kamanda Nyanda...
17Apr 2016
Marco Maduhu
Nipashe Jumapili
Nape alisema hayo katika ziara yake ya mikoa ya kanda ya ziwa na kubainisha kuwa, tatizo kubwa ni 'ulaji' unaosababishwa na viongozi wabovu.
Alisema ili mambo yarejee kwenye hali ya kawaida,...
17Apr 2016
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Rajab alisema hayo juzi usiku wakati wa mazungumzo baina ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na wakuu wa taaasisi, watendaji wakuu na wadau wa mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka wa jijini Dar es Salaam (...
17Apr 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Hii ni kwasababu inaweza kuwa taabu kubwa kwako kama mzazi au mlenzi kwa vile wengi hudhani kuwa mtoto anayejisaidia kwenye nguo zake labda ana utovu wa nidhamu, mjinga au ni mvivu wa kutumia choo...
17Apr 2016
Leonce Zimbandu
Nipashe Jumapili
Kuyeko alitoa ombi hilo jana ofisi baada ya kubaini kuwa serikali imejipanga ifikapo Julai, mwaka huu kodi ya majengo itakusanywa na TRA, kitendo hicho kitaipunguzia Manispaa mapato.
Alisema...
17Apr 2016
Steven William
Nipashe Jumapili
Hayo yalisemwa juzi na mkuu wa wilaya ya Muheza Esterina Kilasi katika kikao cha cha maandalizi ya ujio wa Mwenge wa uhuru wilayani Muheza kilichofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa halmashauri ya...
17Apr 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
***Yaitungua Mtibwa Sugar na kuichomoa Simba kwenye kiti cha uongozi Ligi Kuu Bara
Kwa matokeo hayo, Yanga inaongoza ligi kwa muda kutegemea na matokeo ya mechi ya Simba iliyokuwa ikiongoza msimamo kabla ya ratiba ya mechi za jana.
Mechi hiyo ilikuwa ya mwisho ya ligi kwa Yanga...
17Apr 2016
Ibrahim Mkamba
Nipashe Jumapili
Ofisi hii inasababisha kuingia na kutoka kwenye jiji kuu kwa malori makubwa yanayobeba shehena ndani makontena pamoja na matangi ya mafuta ambayo husababisha msongamano mkubwa wa magari kwenye...






