Taarifa hiyo imetolewa leo Novemba 07, kupitia ukurasa wa Instagram pamoja na X ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mara;-
“Kifo kilitokana kufuatia furaha aliyoipata wakati timu ya Yanga ilipopata goli la tatu, alinyanyuka na kushangilia kwa nguvu akiwa amenyanyua mikono juu na kukauka ghafla kwa mshtuko na mara baada ya kuketi chini alifariki” -taarifa hiyo imeeleza.










