Awali Kocha huyo raia wa Misri aliishitaki klabu hiyo kwa kumvunjia mkataba kinyume cha taratibu.
Kwa hatua hiyo, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) nalo limeiondolea Fountain Gate FC adhabu ya kufungiwa kusajili.
SHIRIKISHO la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeiondolea klabu ya Fountain Gate FC adhabu ya kufungiwa kusajili wa wachezaji baada ya klabu hiyo ya Ligi ya Championship kumlipa madai yake yote Kocha Ahmed El Faramawy Yousef Mostafa Soliman.