T. Z .K FC yapokea vifaa vya michezo kutoka Meridianbet

12Jun 2023
Na Mwandishi Wetu
DAR ES SALAAM
Nipashe
 T. Z .K FC yapokea vifaa vya michezo kutoka Meridianbet
  • Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii

Kampuni ya Meridianbet imetoa msaada wa vifaa vya michezo kwa Klabu ya T.Z.K ikiwa ni mkakati wao wa kurudisha kwa jamii.

Vifaa hivyo ni pamoja na mipira na jezi huku lengo kuu likiwa ni kusukuma mbele gurudumu la michezo nchini.

"Meridianbet mara nyingi wamekua wakirudisha kwa jamii kwa namna tofauti tofauti lakini awamu hii wameamua kugeukia upande wa michezo na timu ya T. Z .K ndio mnufaika mkuu ambapo wamepokea mipira na jezi huku wenyewe wakishukuru sana kwani jezi zilikua changamoto kwa timu yao hivo kupewa jezi imekua kitu kikubwa kwao,".

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko kutoka Meridianbet,Matina Nkurlu alisema: "Kipindi ambacho ligi zimemalizika, Meridianbet inakwambia sio mwisho wa wewe kupiga pesa wakiwa wamekupatia michezo ya kasino kama yote ambayo kwa dau dogo tuu unapiga mkwanja mrefu. Sloti, Aviator, Roulette Poker, Pia Premium yote hiyo ni kwaajili yako ingia na ucheze muda huu," alisema na kuongeza:

“Nina furaha kubwa kuweza kutoa vifaa hivi vya michezo kwa timu hii kwani naamini vitasaidia katika kuleta motisha kwenu na kupambana zaidi katika michezo yenu, Vilevile tunaunga mkono kauli ya Mhe. Rais Samia Suluhu ambaye anataka tusapoti michezo ili kuibua vipaji vitavyokua msaada kwa taifa siku za usoni” alisema Nkurlu

Kwa upande wa T.Z.K FC walipata nafasi ya kuishukuru kampuni ya Meridianbet.... “Ninaishukuru sana kampuni ya Meridianbet kwa kufika kwenye timu yetu na kutoa msaada wa vifaa vya michezo ambavyo ni mipira na jezi ambayo itatusaidia katika michezo yetu na mazoezi ambayo tumekua tukifanya kila siku,Tungependa kuipongeza Meridianbet na kuwataka makampuni mengine kuiga mfano huu bora kabisa kwani kupitia nyie mnaonesha maana halisi ya kuiunga mkono jamii’

"Unataka kucheza kasino ya mtandaoni? Basi nenda Meridianbet wana michezo mingi sana ambayo ni rahisi kwako kushinda kama Aviator kwa dau la shilingi 200/= tu basi unaweza kuwa Milionea, Poker, Roullete, Piggy Party na mingine ambayo ni rahisi sana na pesa yake ni ya chap chap hakuna kusema unasubiri wiki au siku iishe.

"Pia Meridianbet imeleta mchongo wa  hela kila siku. Kuna hii bonasi ya ukaribisho kwa wateja wapya wote wanapata Tsh 25,000/= ya kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Ingia mchezoni www.meridianbet.co.tz

Unachelewa wapi kujiunga na Meridianbet upate bonasi kubwa kama hiyo uitumie kucheza michezo ya kasino ambayo inayotolewa na Meridianbet na uipendayo wewe mteja wao. Jiunge sasa na Mabingwa ujiweke kwenye nafasi ya ushindi.

Ukiwa na meridianbet unaweza kucheza michezo kibao ya kasino ambayo juzi hapa mteja kutoka kwa Aziz Ally alifanikiw akupiga kitita cha shilingi Milioni 20 wewe unasubiri nini?

Usikose kucheza Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette, Piggy Party, Pia Premium ambayo hiyo yote itakuwa karibu nawe wakati ligi zikiwa zimeisha na wewe utaweza kujipigia pesa huko.