Lakini juzi ilishangaza walipokutwa pamoja wakielekea kwenye saluni ya wataalamu wa kutengeneza kucha mjini Los Angeles.
Ilitegemewa kama kawaida yake Swift kutembea na kundi la marafiki anapokwenda maeneo kama hayo, lakini hiyo juzi alikuwa peke yake.
Swift, Gigi ugomvi palepale
08Feb 2016
Nipashe
Swift, Gigi ugomvi palepale
TAYLOR Swift na Gigi Hadid bifu lao zito liko palepale na kuoneana wivu wa kimafanikio nako kama kawaida.









