Shinda Sh. 800,000/= na Expanse Casino

19Mar 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Shinda Sh. 800,000/= na Expanse Casino

Tanzania ina vijana wengi sana wasio kuwa na ajira ya uhakika, wengi kati yao wamejishikiza sehemu na wengine wapo mtaani bila kufanya kazi huku baadhi yao wakitegemea vibarua vya hapa na pale.

Meridianbet inatoa fursa ya kupiga mtonyo kupitia Kasino ya Mtandaoni kupitia Sloti ya michezo ya Expanse.

 

Meridianbet wakali wa Kasino ya mtandaoni wenye sloti rahisi kushinda kama Aviator, Poker na Roullete wanagawa mpunga wa kutosha mwezi huu, usipange kukosa. Michezo ya sloti inayohusika kutoa mtonyo huu ni Book of Egypt, Bounty hunters, Capital City Derby, Forest Rock, Pirates Power, Spinning Buddha, The Book of Eskimo, Wild icy fruits.

 

Jinsi ya Kushiriki kwenye Promosheni hii

 

Ni rahisi sana wala huhitaji kutumia nguvu kubwa, ni kama kumsukuma mlevi vile hata kwa kutumia kidole anasogea tu. Cha kufanya zingatia yafuatayo ili kuwa moja ya wachezaji wazuri wa Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet:

 

• Promosheni ya mashindano ya Expanse - itafanyika katika kipindi cha kuanzia Machi 17 mpaka Machi 22-2023.

 

•Promosheni hii itahusisha wachezaji waliosajiliwa kwenye APP ya simu na tovuti ya  www.meridianbet.co.tz

 

•Wakati wa ofa, wachezaji hushindana kulingana na idadi ya mizunguko inayochezwa kwenye michezo ya watoa huduma ya Expanse kutoka kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Michezo ambayo inahusika wakati wa mashindano ni: Book of Egypt, Bounty hunters, Capital City Derby, Forest Rock, Pirates Power, Spinning Buddha, The Book of Eskimo, Wild icy fruits.

 

•Orodha ya nafasi iko ndani ya mchezo na itaonekana saa 24 baada ya mwisho wa mashindano.

 

• Kulingana na orodha ya mwisho ya nafasi, wachezaji 5 walioshika nafasi za juu watatunukiwa bonasi za kasino ya mtandaoni katika viwango vifuatavyo:

 

       •1. Nafasi ya Kwanza      Sh.  250,000 

       •2. Nafasi ya Pili               Sh. 200,000 

       •3. Nafasi ya Tatu            Sh.  150,000 

       •4. Nafasi ya nne              Sh.  100,000 

       •5. Nafasi ya Tano            Sh.  100,000 

• Ili bonasi ya kasino ya mtandaoni iliyokabidhiwa ihamishwe kwa akaunti ya pesa ya mchezaji, ni muhimu kuiwekeza mara 30 kwenye mchezo wowote wa yanayopangwa wa mtoa huduma wa Expanse. Ushindi wa juu unaoweza kutolewa ni Sh. 500,000.

•Ofa hii ni halali kwa kila mtumiaji, anwani ya IP na kaya.