Uamuzi huo umefikiwa wakati winga huyo akirejea kwenye klabu hiyo akitokea Abha FC ya Saudi Arabia alikokuwa akicheza kwa mkopo.
Luis alijiunga na miamba hiyo ya soka ya Afrika na Misri akitokea Simba ya SC miaka miwili nyuma.
"Ningependa kushukuru uongozi wa klabu, wachezaji wenzangu na makocha niliyofanya nao kazi mahali hapa. Ningependa pia kuwashukuru mashabiki wa Al Ahly," amesema Luis.










