Aliyeteuliwa u-RC Mara atenguliwa

31Jul 2022
Na Mwandishi Wetu
DAR ES SALAAM
Nipashe Jumapili
Aliyeteuliwa u-RC Mara atenguliwa

Rais Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Dk. Raphael Chegeni, aliyemteua usiku wa kuamkia Julai 28, 2022, kuwa Mkuu wa mkoa wa Mara, na kumteua Meja Jenerali Suleiman Mzee kuchukua nafasi hiyo.

Taarifa hiyo imetolewa hii leo Julai 31, 2022, na Mkurugenz

Dk.Raphael Chegeni.