MAONI YA MHARIRI »
WATU wote wanaotarajiwa kuhamia Dodoma kufikia mwezi ujao wametakiwa kuzingatia ramani ya mpango wa kustawisha mji huo.
WIKI hii kumeibuka mambo makubwa mawili kwenye klabu ya Simba ambayo kwa nyakati tofauti yameteka hisia za mashabiki na wanachama wa klabu hiyo...
BARAZA la Taifa la Elimu ya Ufundi (Nacte), limevifungia kuendesha mafunzo na kufutwa kwenye rejista ya vyuo vya ufundi nchini vyuo vitano baada...
KUNA taarifa kuwa Bodi ya Utalii nchini (TTB) inakabiliwa na uhaba wa fedha kwa ajili ya kutangaza vivutio vya utalii.
Hali hiyo ilielezwa...
HATIMAYE Simba SC itakuwa na kikao na mfanyabiashara Mohamed Dewji anayetaka kutoa Sh. bilioni 20 ndani ya Simba ili apate hisa ailimia 51.
MEDANI ya siasa nchini kwa sasa imetawaliwa na habari za kuzuiwa kwa vyama vya siasa kufanya mikutano ya kisiasa.
Badala yake, Rais John...
SIKUKUU ya Wakulima na Wafugaji maarufu kwa jina la Nane Nane inatazamiwa kuadhimishwa wiki ijayo, Agosti 8.
WANACHAMA wa Klabu ya Simba wameridhia mabadiliko ya mfumo wa uendeshwaji wa klabu hiyo kwa mara ya kwanza baada ya zaidi ya miaka 70 ya...
KWA mara nyingine tena, mfanyabiashara Mohamed Dewji ametoa ofa ya kuinunua klabu ya Simba kwa Sh. Bilioni 20 ili afanye mageuzi makubwa na...
KUMEIBUKA tishio kubwa la kuwapo kwa vurugu baina ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Jeshi la Polisi.






