NIPASHE JUMAPILI
31Jul 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Taarifa hiyo imetolewa hii leo Julai 31, 2022, na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus, na kusema Meja Jenerali Mzee, ataapishwa kesho Agosti Mosi, 2022.Meja Jenerali Suleiman Mzee,...
31Jul 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Waziri wa Nchi wa Ofisi hiyo, Dk.Selemani Jafo, ametoa kauli hiyo jana aliposhiriki usafi katika soko la bonanza kwa kushirikiana na Mabalozi wa Mazingira Mkoa wa Dodoma.Amesema lengo la kampeni...
24Jul 2022
Neema Emmanuel
Nipashe Jumapili
Wito huo umetolewa na Makamu Mwenyekiti wa hiyo, Octavian Mshiu wakati wajumbe wa bodi hiyo walipotembelea na kukagua barabara ya Shule ya Msingi Igoma yenye urefu wa mita 370 inayojengwa kwa mawe...
24Jul 2022
Marco Maduhu
Nipashe Jumapili
Maadhimisho hayo yatafanyika Agosti 12 mwaka huu, ambayo yameandaliwa na Baraza la vijana wa Chadema (BAVICHA), huku Mgeni Rasmi akitarajiwa kuwa ni Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freman Mbowe....
24Jul 2022
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Hivyo, imetoa wito kwa vyuo vyote vinavyodahili wanafunzi hao, kuzingatia sheria, kanuni, taratibu na miongozo iliyowekwa ili kuepuka usumbufu au hasara inayoweza kujitokeza kwa waombaji au kwa...
24Jul 2022
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Ulega alibainisha hayo juzi jijini Dodoma wakati wa kikao cha wizara na wadau wa tasnia ya kuku kilicholenga kujadili namna ya kukuza tasnia hiyo na utekelezaji wa sheria ya mwaka 2006.Serikali...
24Jul 2022
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Vilevile, chama hicho kimesisitiza wananchi walifanya makosa kukubali kuingia katika mfumo wa vyama vingi pasina kufanya marekebisho stahiki ya kisheria, ikiwamo kuyabana majeshi katika kuingilia...
24Jul 2022
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Hivi karibuni, Rais Samia Suluhu Hassan alitangaza nyongeza ya mishahara kwa watumishi hao kwa asilimia 23.3.Akizungumza na Nipashe jana kwa njia ya simu, Katibu wa TUCTA, Henry Mkunda, alisema...
17Jul 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Maonesho hayo yameratibiwa na Chama cha Wafugaji Mifugo Kibiashara Tanzania (TCCS). Akizungumza jana wilayani Chalinze ambapo unafanyika mnada huo, Ofisa Mwandamizi wa TADB, Furaha Sichula...
17Jul 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akizungumza kwenye hafla fupi ya kuwakaribisha wateja wa iliyokuwa wa Benki ya FNB Tanzania iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Exim Tanzania,Jaffari...
17Jul 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akizungumza na chombo kimoja cha Habari, Shangazi wa marehemu huyo Kabula Nairobi, amesema hajui chanzo cha tukio hilo huku akiliomba Jeshi la Polisi kuchunguza kifo cha mtoto wake.Kamanda wa Polisi...
17Jul 2022
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Baada ya kuchukua mzigo wako, moja kwa moja unakwenda kuweka kwenye mashine maalum, ambayo lazima upitishe kila ulichonacho ikiwamo kompyuta mpakato (laptop).Ziko aina nyingi za mashine hizi...
17Jul 2022
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Amesema utafiti mbalimbali uliofanywa na serikali kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) mwaka 2021 unaonyesha kuwa watoto waliofanyiwa matukio ya ukatili nchini...
17Jul 2022
Paul Mabeja
Nipashe Jumapili
Dk. Mwakipesile alitoa agizo hilo jana alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kumalizika kwa mgogoro ndani ya Kanisa la EAGT uliodumu kwa miaka sita.Alisema Baraza la Waangalizi wa...
17Jul 2022
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Akizungumza jana na wananchi wa kata ya Mtoa wilayani Iramba baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Kituo cha Afya Mtoa katika mwendelezo wa ziara yake mkoani Singida, Majaliwa alisema serikali...
17Jul 2022
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Jumanne ya wiki hii, Rais Samia Suluhu Hassan, wakati akihutubia Mkutano wa 20 wa Shirikisho la Baraza la Maaskofu Katoliki Afrika Mashariki na Kati (AMECEA), alitangaza kuwapo kwa ugonjwa huo Lindi...
17Jul 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Dk. Biteko alibainisha hayo jana wakati alipotembelea mgodi wa Buckreef mkoani Geita ili kujionea maendeleo ya shughuli za ujenzi na uchimbaji madini katika mgodi huo. Alisema, mgodi wa Buckreef...
10Jul 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Wito huo umetolewa jana na Katibu Mkuu wa ACT,Ado Shaibu wakati akizungumza na Wanachama na Viongozi wa chama hicho katika Kata ya Kikole katika Jimbo la Kilwa Kusini wilayani Kilwa."Migogoro ya...
10Jul 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Hayo yamesemwa na Mbunge wa Kibakwe Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa, George Simbachawene alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara, wananchi wa kata Lumuma baada ya kujionea maendeleo ya ujenzi...
Mratibu Mafunzo wa Taasisi ya Mahusiano na Mawasiliano ya Umma nchini Tanzania IPRT Dk. Titus Simsamba (kulia) pamoja na Makamu Mkuu wa Chuo cha Daystar Prof. Laban Ayiro (kushoto) wakipongezana mara baada ya kusaini makubaliano ya ushirikiano wa kiutendaji (MOU) baina ya taasisi hizo ili kutoa mafunzo kuhusu mawasiliano ya kimkakati mahususi kwa watendaji wakuu, maofisa mawasiliano, maofisa utumishi pamoja na maafisa mbalimbali katika mashirika hapa nchini. Hafla ya utiaji saini makubaliano hayo ilifanyika jijini Dar es Salaam.
03Jul 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kupitia makubaliano hayo taasisi hizo mbili zitashirikiana kutoa mafunzo kuhusu mawasiliano ya kimkakati (strategic communication and leadership) mahususi kwa watendaji wakuu, maofisa mawasiliano,...
