NIPASHE JUMAPILI

Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro, Raymond Mwangwala.

15May 2022
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Kamati hiyo iliundwa na Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro,  Raymond Mwangwala, mwishoni mwa  mwaka jana kuchunguza chumvi hiyo iliyolalamikiwa na wafugaji wa Tarafa ya Ngorongoro kuwa ni feki na...
08May 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Katika hafla ya kupokea na kufungua rasmi vyoo iliyofanyika jana Kigamboni, Afisa Tawala wa wilaya, James Mkumbo ambaye alimuwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Fatma Nyangasa, aliishukuru  ...

Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Juma Duni Haji

08May 2022
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Katika hotuba yake wakati wa kongamano la pili la Tume Huru ya Uchaguzi kuelekea Katiba Mpya, jijini Mwanza jana, Mwenyekiti wa chama hicho, Juma Duni Haji, alisema kikosi kazi cha Rais Samia Suluhu...
08May 2022
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Akizungumza jana na waandishi wa habari jijini hapa, Kaimu Rais wa CWT, Dinnah Mathamani, alisema uhaba wa nyumba za walimu ni tatizo kubwa hasa vijijini. “Walimu wanaoajiriwa wengi...

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) ambae ni mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara, NBC Premiere League Theobald Sabi (Kushoto) akikabidhi hundi yenye thamani ya sh mil 1 kwa mchezaji wa klabu ya Simba Clatous Chama alietangazwa mchezi bora wa ligi hiyo kwa mwezi Machi. (Picha kulia) akikabidhi hundi yenye thamani ya sh mil 1 kwa kocha wa klabu ya Simba Pablo Franco alietangazwa kocha bora wa ligi hiyo kwa mwezi Machi wakati wa mechi kati ya Simba na Yanga iliyofanyika kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam jana. Timu hizo zilitoka sare ya bila kufungana.

01May 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Theobald Sabi ndiye aliyeongoza shughuli hizo kwa kukabidhi  tuzo na zawadi ya fedha kiasi cha Sh. mil 1, kwa mchezaji wa Simba SC, Clatous Chama...
01May 2022
Vitus Audax
Nipashe Jumapili
Kauli hiyo imetolewa jana na Mkuu wa Wilaya ya Magu, Salum Kali katika maadhimisho ya kilele cha Siku ya usonji na kulihakikishia  Shirika la Li-TAFO (Living Together Autistic Foundation)...
01May 2022
Neema Emmanuel
Nipashe Jumapili
Kauli hiyo ameitoa jana wakati wa mdahalo wa Mapinduzi ya Sekta ya Habari tangu Uhuru ulioandaliwa na REPOA na Media Space kwa ufadhili wa Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania.Alisema kuwa hali ya...

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Prof. Joyce Ndalichako (wapili kushoto), akikabidhi tuzo kwa mwakilishi wa moja ya makampuni yaliyoshinda tuzo za Usalama na Afya mahali pa kazi na OSHA ikiwa ni miongoni mwa shughuli za maadhimisho ya siku ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi Duniani Aprili 22, 2022.

01May 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kwa mwaka huu maadhimisho hayo yenye kauli mbiu; Kwa Pamoja tushirikiane kujenga utamaduni bora wa Usalama na Afya mahali pa kazi,  yamefanyika kitaifa jijini Dodoma ambapo Mgeni Rasmi alikuwa...

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe

24Apr 2022
Godfrey Mushi
Nipashe Jumapili
Waziri Bashe, alishauriwa hayo leo na wanazuoni, wana ushirika na wabia wa maendeleo kutoa Taasisi za Fedha, wakati wa mdahalo wa kitaifa juu ya uanzishwaji wa Benki ya Taifa ya Ushirika,...
24Apr 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Hafla ya futari hiyo ilifanyika Hotel ya Tanga Beach Resort jijiji Tanga  ikihudhuriwa na wadau mbalimbali wa benki hiyo wakiwemo wateja, wafanyakazi wa benki hiyo pamoja na viongozi mbalimbali...
24Apr 2022
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Katika filamu hiyo, Rais Samia anaonekana kumudu vyema kazi yake ya kuongoza watalii kwa kumweleza kuhusu vivutio kwenye Hifadhi za Taifa na Zanzibar.Pia Rais alionekana akimwendesha mgeni wake...

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel.

24Apr 2022
Neema Emmanuel
Nipashe Jumapili
Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel,wakati akifungua kikao kazi cha kujengeana uelewa wa pamoja kuhusu utekelezaji wa miradi ya kupunguza umaskini awamu ya nne(TPRP...

​​​​​​​Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk. Dorothy Gwajima.

24Apr 2022
Marco Maduhu
Nipashe Jumapili
Waziri Gwajima alitoa kauli hiyo jana alipofanya ziara mkoani hapa na kutembelea kaburi alilozikwa mtoto huyo nyumbani kwao katika Kijiji cha Lyabukande.Alisema amelazimika kufanya ziara hiyo mkoani...

Waziri wa Madini, Dk. Doto Biteko.

24Apr 2022
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Waziri wa Madini, Dk. Doto Biteko, alitoa ufafanuzi huo jana katika semina ya wabunge ya kuwajengea uwezo kuhusu fursa zilizopo kwenye sekta ya Madini iliyoandaliwa na Shirika la Madini la Taifa (...

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Naghenjwa Kaboyoka.

24Apr 2022
Sanula Athanas
Nipashe Jumapili
-kwenye benki za nje ya nchi.Ripoti hiyo ya CAG iliwasilishwa bungeni jijini hapa Jumanne ya wiki iliyopita na hivyo kuwa wazi kwa umma kwa mujibu wa Katiba.Katika mazungumzo mahususi na Nipashe...

Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere,

24Apr 2022
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Wamesema katika kurithisha vizazi vijavyo falsafa zake, wazee na wanazuoni waendelee kuandika makala, majarida na vitabu kwa lengo la kuhakikisha urithi wa maisha yake unatambulika, kuhifadhiwa na...
10Apr 2022
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo yaliyofanyika mkoani Kigoma, Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki, alisema msaada huo utaenda kuchochea Uvuvi na utunzaji wa ziwa hilo lenye manufaa...

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi akizungumza na wateja wa benki hiyo wakati wa hafla ya futari.

10Apr 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akizungumza kwenye hafla hiyo iliyofanyika Hotel Verde jana, Zanzibar Spika Zubeir alionyesha kuridhishwa na namna benki hiyo inavyoshirikiana na Baraza hilo pamoja na serikali katika kuleta...
03Apr 2022
Godfrey Mushi
Nipashe Jumapili
Serikali izuie asasi za kiraia zinazoingilia mchakato
Aidha, wananchi walio tayari kuhama, wameomba vyombo vya dola kuongeza ulinzi kwa wananchi walioonyesha nia ya kuhama, kwa kuwa baadhi ya viongozi wa mila wa jamii ya kifugaji ya Kimasai na viongozi...
03Apr 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Umaarufu wa biashara za moja kwa moja umezidi kuongezeka hususan Afrika Mashariki kutokana na nchi hizo kuwekeza katika kuboresha miundombinu ya mawasiliano kama vile upatikanaji wa mtandao wa...

Pages