NIPASHE JUMAPILI

03Jul 2022
Marco Maduhu
Nipashe Jumapili
Makinda ameutembelea Mnada huo leo Julai 3, 2022 akiwa ameambatana na viongozi mbalimbali wa Serikali na Chama.Akizungumza na wananchi mnadani humo Makinda amewasihi wananchi hao kuwa siku ya zoezi...

Kamisaa wa zoezi la Sensa ya watu na Makazi Tanzania Anne Makinda, akizungumza kwenye hafla ya kuhamasisha wananchi wa Mkoa wa Shiyanga kushiriki kikamilifu kuhesabiwa Sensa Agost 23 mwaka huu.

03Jul 2022
Marco Maduhu
Nipashe Jumapili
Kamisaa wa zoezi la kuhesabiwa Sensa ya Watu na Makazi hapa nchini Anne Makinda, amebainisha hayo jana mkoani Shinyanga wakati akihamasisha wananchi wa Mkoa huo kushiriki kikamilifu kuhesabiwa Sensa...

RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi.

03Jul 2022
Rahma Suleiman
Nipashe Jumapili
Alitoa kauli hiyo jana alipozungumza na waandishi wa habari Ikulu Zanzibar na kutoa ufafanuzi wa hoja saba kuhusu kasumba na upotoshaji wa taarifa zinazosambaa katika mitandao ya kijamii.Alisema kuna...

KATIBU Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Profesa Eliamani Sedoyeka.

03Jul 2022
Elizaberth Zaya
Nipashe Jumapili
Prof. Sedoyeka alitoa kauli hiyo jana Dar es Salaam wakati akikabidhiwa magari 10 kutoka Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP). "Kama kuna mtu anawaza kufanya ujangili, ajue kwamba...
03Jul 2022
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Inadaiwa askari hao (majina tunayahifadhi) walitaka wapewe 45,000 ndipo waweze kufuatilia suala hilo kwenye mtandao lakini ndugu waliposhindwa kutoa fedha hizo kutokana na hali ngumu ya maisha...
03Jul 2022
Lilian Lugakingira
Nipashe Jumapili
Kinamama hao walifikia uamuzi huo baada ya kufika kwenye zahanati hiyo wakihitaji huduma na wauguzi waliokuwa zamu walikataa kuwafungulia.Agizo la kusisimamishwa kazi kwa watumishi hao lilitolewa na...
03Jul 2022
Nipashe Jumapili
 Ni mpango wa Mungu toka mwanzo kuwa mwanamume na mwanamke waishi pamoja katika ndoa ili kukua pamoja na kufurahishana. Mwanadamu anaweza kuwa na mtu wa karibu wa kushirikiana naye katika mambo...
26Jun 2022
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe, amesema ripoti hiyo iliyozinduliwa jijini Dodoma imeanzisha changamoto zilizopo kwenye uchakataji wa nafaka unaofanywa hapa nchini....

Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Jomaary Satura akizungumza kwenye kikao cha baraza la Madiwani.

26Jun 2022
Marco Maduhu
Nipashe Jumapili
Manispaa ya Shinyanga ilikuwa na hoja 79, ambazo zilikuwa zimeibuliwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ambapo kati ya hoja hizo imejibu 38.Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga...

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Innocent Bashungwa.

26Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Taarifa hiyo imetolewa leo Juni 26, 2022, jijini Dodoma na Waziri huyo wakati akaitangaza matokeo ya ajira 9,800 za walimu wa shule za msingi na sekondari pamoja na nafasi 7,612 za wataalam wa afya....

Mkuu wa Wilaya ya Siha Mkoani kilimanjaro Thomas Apson, Meneja wa shamba la miti West Kilimanjaro Yahaya Masawanga wakiwa katika picha ya Pamoja na washiriki wa mashindano ya Baskeli. PICHA: Anjela Mhando.

26Jun 2022
Anjela Mhando
Nipashe Jumapili
Apson akizungumza katika uzinduzi wa West Kilimanjaro Marathon uliyofanyika katika viwanja vya Simba farm West Kilimanjaro, amesema katika Wilaya hiyo  kuna mageti mawili ya kupitia Watalii ya...
26Jun 2022
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Kwa wanaokwenda Mwanza, Musoma, Shinyanga, Bukoba, Kahama na kwingine kwa mwelekeo huo wanapotoka Dar es Salaam, kituo cha kwanza kwa ajili ya huduma za kijamii ni mjini Morogoro.Kama hilo haitoshi,...
26Jun 2022
Marco Maduhu
Nipashe Jumapili
Hayo yalibainishwa na wazee hao juzi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Mtaa wa Dome uliokuwa na lengo la kutoa elimu ya kupiga vita biashara na matumizi ya dawa za kulevya, vitendo vya...
26Jun 2022
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Lucas Mwakatundu, alimtaja aliyefariki dunia ni Alon Basili (36), mkazi wa Kijiji cha Mkiwa ambaye mwili wake...
26Jun 2022
Gurian Adolf
Nipashe Jumapili
Akizungumza na waandishi wa habari jana mjini hapa, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, Theopista Mallya, alisema mtuhumiwa huyo aliwataka wanafunzi hao ambao ni wa darasa la nne na sita wafukue kaburi...
26Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Madola uliomalizika jana Rwanda ambao ulihudhuriwa takriban na viongozi wa ngazi tofauti wa nchi zote 54 za umoja huo, Tanzania ilitumia...

Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson.

26Jun 2022
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Pia ameitaka serikali kufuata sheria, kanuni na taratibu katika kupunguza mishahara na kushusha vyeo watumishi waliokuwa kwenye nafasi za uteuzi na kuondolewa, ili kusiwe na malalamiko.Kiongozi huyo...
26Jun 2022
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ibara ya 14 ya Katiba hiyo iliyotungiwa Sheria Na. 15 ya Mwaka 1984 (Haki ya Kuishi) inatamka bayana kwamba "Kila mtu anayo haki ya kuishi na kupata kutoka kwa jamii hifadhi ya maisha yake kwa...

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango, Saada Mkuya (Kulia) akiwaongoza maofisa waandamizi pamoja na wafanyakazi wa Shirika la Bima Zanzibar (ZIC) kukabidhi msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya sh mil 30 kwa uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja iliyopo visiwani humo ikiwa ni sehemu maadhimisho ya 53 tangu kuanzishwa kwa shirika hilo. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Mnazi Mmoja, Marijani Msafiri , Mkurugenzi wa Bima ya Kawaida wa ZIC, Jape Khamis (Katikati) na Mwenyekiti wa Bodi ya ZIC, Ramadhani Mwalimu Khamis.

19Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Msaada huo ni sehemu maadhimisho ya 53 tangu kuanzishwa kwa shirika hilo. Vifaa hivyo ni pamoja na taa inayosaidia upasuaji, kifaa cha uangalizi wa wagonjwa wa dharura pamoja na mashine za...
19Jun 2022
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Pamoja na mambo mengine, bajeti hiyo imejikita katika kubana matumizi ya serikali kwa kupunguza idadi ya vigogo wanaotakiwa kununuliwa magari, kukopeshwa ili wafanye matengenezo wenyewe na kununua...

Pages