NIPASHE JUMAPILI
14Aug 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
“Sote tumeshuhudia jinsi serikali inavyoweka mazingira mazuri ya kuwekeza kwa ujenzi wa miundombinu muhimu ya barabara na madaraja, reli ya kisasa, vivuko, meli na usafiri wa anga. "...
14Aug 2022
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mayele apeleka msiba Msimbazi, aitungua Simba kwa mara ya pili Ngao ya Jamii Yanga ikibeba tena..
Kwenye mechi hiyo ya watani wa jadi iliyokuwa maalum kwa ufunguzi wa Ligi Kuu msimu wa 2022/23, Simba ilitawala zaidi kipindi cha kwanza na Yanga kuwakimbiza wapinzani wao kipindi cha pili, lakini...
14Aug 2022
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti na Kupunguza Umaskini Tanzania (REPOA), Dk. Donald Mmari, katika mazungumzo na Nipashe jana, alisema bei ya mafuta inavyopanda na gharama za gesi zinapanda....
14Aug 2022
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Vilevile, imebainisha kuwa kipindi cha kuanzia Julai 2021 hadi Juni 2022, mapato ya TPA yameongezeka kutoka Sh. bilioni 910.4 mwaka uliopita hadi Sh. trilioni 1.095 mwaka 2021/22 huku ikitarajia...
14Aug 2022
Marco Maduhu
Nipashe Jumapili
Vilevile amedai alishapokea vitisho vingi na hata kupewa fedha ili akiuze chama hicho na akapoteza mali zake nyingi za mamilioni ya shilingi, lakini hakufanya hivyo na ameendelea kusimama na...
14Aug 2022
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Alitoa hadi hiyo jana alipozungumza na wananchi katika Jimbo la Isimani wakati akihitimisha ziara yake mkoani Iringa."Serikali ina dhamira njema kwa wananchi wake. Ninajua bidhaa mbalimbali...
07Aug 2022
Vitus Audax
Nipashe Jumapili
Balozi Prof.Mahalu amebainisha hayo alipotembelea kabuli la mwandishi wa kwanza wa vitabu Afrika Mashariki, Aniceti Kitereza lililopo katika Kisiwa cha Ukerewe mkoani Mwanza."Kitereza alikuwa...
07Aug 2022
Renatha Msungu
Nipashe Jumapili
Akizungumza wakati akizindua jengo hilo Rais Samia amesema,ameridhishwa na jengo lenyewe lilivyojengwa na thamani ya pesa iliyotumika kutokana na muonekano wa jengo hilo.“Nilipoambiwa utafungua...
07Aug 2022
Renatha Msungu
Nipashe Jumapili
Hayo yamesemwa na Mdhibiti wa zao hilo wa Bodi ya Pareto nchini, Edwin Margwe katika maonyesho ya Nanenane kitaifa yanayoendelea kwenye viwanja vya John Mwakangale vilivyopo jijini Mbeya.Amesema...
07Aug 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mkuu wa Idara ya Kilimo Biashara wa NMB, Isaac Masusu aliyasema hayo kwenye maonyesho ya wakulima Nanenane ambayo kitaifa yanafanyika katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya.Alitoa...
07Aug 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Wachezaji hao wakiongozwa na Kapteni John Bocco, wameungana na Shomari Kapombe, Aishi Manula, Erasto Nyoni na wazawa wengine kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan kuwa wako tayari kuhesabiwa."...
07Aug 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Bashe amesema hayo leo Agosti 7, 2022 alipopewa fursa na Rais Samia Suluhu Hassan kusalimia wananchi wa Kiwira wilayani humo katika ziara ya Mkuu huyo wa nchi mkoani Mbeya.Bashe ameeleza msimamo wa...
07Aug 2022
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Licha ya kuwa na maadhimisho kitaifa yanafanyika jijini Mbeya, kila kanda maadhimisho yanaendelea kwa taasisi, mashirika, watu binafsi na wakulima mmoja mmoja kuonyesha kazi zao ambazo ni muhimu kwa...
07Aug 2022
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Kijana mmoja aitwaye Selestine, msomaji mzuri wa gazeti hili na pia safu hii, alinisimulia kisa kimoja cha kusisimua kuhusu shangazi yake aliyejifungua boga badala ya mtoto miaka kadhaa iliyopita....
07Aug 2022
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo, amesema tatizo la deni la dawa walilonalo siyo sababu kwa MSD kusitisha kupeleka dawa katika zahanati hiyo kwa kuwa wananchi wanahitaji kuendelea kupata huduma....
07Aug 2022
Steven William
Nipashe Jumapili
Ofisa Lishe Wilaya ya Muheza mkoani Tanga, Emmanuela Lawrence, alibainisha hayo jana wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya Wiki ya Unyonyeshaji uliofanyika kwenye Kituo cha Afya Ubwari,...
07Aug 2022
Marco Maduhu
Nipashe Jumapili
Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga, Leonard Nyandahu, alikiri kutokea kwa tukio hilo juzi jioni na sasa wanamshikilia mtuhumiwa kwa ajili ya uchunguzi zaidi.Mwenyekiti wa Mtaa wa...
07Aug 2022
Nebart Msokwa
Nipashe Jumapili
Alitoa agizo hilo jana wilayani Chunya mkoani Mbeya alipozungumza na wananchi wa wilaya hiyo katika Kata ya Matundasi baada ya kuzindua barabara ya Chunya-Makongolosi yenye urefu wa Km 39....
07Aug 2022
Sanula Athanas
Nipashe Jumapili
Vyoo chakavu, baridi limetawala sakafu., Madarasa matatu ndani ya chumba kimoja.
Licha ya kupata sura moja ya ukarimu wa ukaribisho kutoka kwa wenyeji shuleni, mrejesho ulitekwa zaidi na ugeni dhidi ya mandhari yaliyoshuhudiwa. Mazingira yamezungukwa na ukungu, baridi la hali ya...
07Aug 2022
Vitus Audax
Nipashe Jumapili
Akizungumza na Nipashe katika maonyesho ya Nanenane Kanda ya Ziwa, Kaimu Meneja wa mamlaka hiyo kwa kanda hiyo, Hanafi Mohamed alisema serikali imetoa Shilingi bilioni 150 kwaajili ya ruzuku ya...
