NIPASHE JUMAPILI

​​​​​​​Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Henry Mwaibambe.

09Oct 2022
Steven William
Nipashe Jumapili
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Henry Mwaibambe, alithibitisha jana kutokea kwa kifo hicho, akibainisha kuwa askari huyo alikutwa na umauti Alhamisi ya wiki hii, siku ya pili ya mtihani huo wakati...
09Oct 2022
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Misenyi, Dk. Daniel Chochote, alitoa angalizo hilo juzi wilayani mwake wakati wa ziara ya kukagua utayari wa wafanyabiashara katika kujikinga na tishio la Ebola.Dk....

Paul Makonda.

09Oct 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Hivi karibuni, Makonda alishtakiwa na Mbunge wa zamani wa Ubungo, Saed Kubenea, shauri lililowajumuisha pia Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kwa madai...
09Oct 2022
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Laiza alibainisha hayo wakati wa mkutano kuhusu mrejesho wa ufuatiliaji wa bajeti ya Kata ya Saranga ulioandaliwa na Kituo cha Taarifa na Maarifa cha Kata hiyo ambacho kiko chini ya Mtandao wa Jinsia...

Mganga Mkuu wa Serikali Dk. Aifello Sichalwe.

09Oct 2022
Paul Mabeja
Nipashe Jumapili
Vilevile, tangu kuanza kutolewa kwa huduma za chanjo ya UVIKO-19 nchini, jumla ya wananchi milioni 22.09 wamepata dozi kamili ya ugonjwa huo kati ya milioni 30.74 waliotarajiwa.Kwa mujibu wa taarifa...
02Oct 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Dk. Biteko amewapongeza washiriki wa maonesho hayo kuzidi kukua na kuwa tofauti na miaka iliyopita. Pia amesema serikali inathamini mchango wa sekta ya madini na imeendelea kupeleka msukumo...

Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu akizungumza na wanachama wa ACT Wazalendo katika Kata ya Mchoteka wilayani Tunduru.

02Oct 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Rai hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu akizungumza na wanachama wa ACT Wazalendo katika Kata ya Mchoteka wilayani Tunduru."Hivi karibuni nilifanya ziara mkoani Lindi....

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu, George Simbachawene akihutubia mahafali ya nane ya kidato cha nne katika shule ya sekondari ya Mtakatifu Catherine.

02Oct 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Wito huo umetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu, George Simbachawene katika mahafali ya nane ya kidato cha nne katika Shule ya Sekondari ya Mtakatifu Catherine iliyopo...
02Oct 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Awataka wananchi kushirikiana na Mwekezaji, Shilingi bilioni 30 zimetengwa kwa ajili ya kulipa fidia
Dk. Biteko ametoa agizo hilo alipotembelea mradi wa Kabanga Nikeli katika ziara iliyolenga kukagua hatua iliyofikiwa katika uendelezaji wa mradi husika katika eneo la Kabanga wilaya ya Ngara mkoani...
02Oct 2022
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Mkuu wa Kitengo cha Utafiti wa LHRC, Fundikila Wazambi, alibainisha hayo juzi alipowasilishaji mada kuhusu hali ya haki za binadamu nchini wakati wa mkutano wa wadau wa masuala ya wazee nchini...

Waziri wa Madini Dk. Doto Biteko.

02Oct 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Dk. Biteko ametoa pongezi hizo alipotembelea mgodi wa GGM ili kushuhudia miradi mipya ya uchimbaji dhahabu inayofanyika katika mgodi huo mkoani Geita."Mimi ningependa tuwe wa kweli, nchi hii...

Asha Ibrahimu ambaye ni mlemavu wa miguu, mkazi wa kijiji cha Unyabwa, Manispaa ya Singida, akilia mbele ya Mkuu wa Mkoa Singida, Peter Serukamba, baada ya kukabidhiwa hati ya kiwanja alichosotea kwa miaka 25 kufuatilia ofisi mbalimbali za serikali hadi Rais Samia Suluhu Hassan alipoamuru apewe kiwanja haraka. PICHA: THOBIAS MWANAKATWE

02Oct 2022
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Asha mwenye ulemavu wa miguu, wakati akikabidhiwa juzi  na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba hati ya kiwanja kipya, aliangua kilio kwa furaha katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa mjini hapa....

Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa chama hicho (BAZECHA), Hashim Juma Issa.

02Oct 2022
Paul Mabeja
Nipashe Jumapili
Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa chama hicho (BAZECHA), Hashim Juma Issa, alitoa rai hiyo jana wakati wa Kongamano la Baraza hilo lililofanyika jijini hapa.Alisema kuwa ili kupata haki zao za msingi...
02Oct 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Taarifa iliyotolewa juzi jijini Arusha na Mwenyekiti wa Kamati ya Ripoti ya Utafiti wa Watalii ambaye ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Juma  Mkomi, wakati wa uzinduzi wa...

Fundi wa TANESCO, akikagua mita ya umeme kwa mteja ili kuwabaini waliounganishia huduma kinyemela kwa kutumia mafundi vishoka kupitia huduma bila malipo katika Kata ya Isagehe, wilayani Kahama, mkoani Shinyanga jana. Kulia ni moja ya mita mbovu iliyoibwa katika shirika hilo, na kukutwa ikiwa imefungwa katika Kanisa la Kalval Assembel of God (ACG), huku nyaya zinazoruhusu mita kusoma zikiwa hazijaunganishwa na kuruhusu umeme kuingia moja kwa moja kwa mteja. PICHA: SHABAN NJIA

02Oct 2022
Shaban Njia
Nipashe Jumapili
Imedaiwa kuwa vitendo hivyo walikuwa wakivifanya kwa kushirikiana na mafundi vishoka ambao awali walikuwa wakifanya kazi ya kujitolea katika shirika hilo katika miradi mbalimbali ikiwamo ile ya...

Dk. Mohamed Ali Hafidh.

02Oct 2022
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ni tukio linalochukua sura huku kukiwapo hatua za kiserikali za tahadhari, kuletwa maabara tembezi, operesheni ya elimu kwa umma na angalizo maalum kwa mikoa iliyo jirani na kulikoathirika.Taarifa ya...

MKUU wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila.

25Sep 2022
Lilian Lugakingira
Nipashe Jumapili
Akizungumza katika kikao cha pamoja na watendaji wa kata na maafisa tarafa kutoka wilaya zote za Mkoa wa Kagera, Chalamila alisema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan...

Mbunge wa Bukoba Vijijini Dk. Jasson Rweikiza.

25Sep 2022
Lilian Lugakingira
Nipashe Jumapili
Wakizungumza katika mahafali ya 11 ya darasa la saba katika Shule ya Awali na Msingi ya Rweikiza iliyoko katika Wilaya ya Bukoba, wakazi hao akiwamo Aisha Jaffary kutoka Kata ya Maruku, alisema kuwa...
25Sep 2022
Julieth Mkireri
Nipashe Jumapili
Katika nafasi hiyo Kazembe alikuwa akigombea na Godlove Rwekaza ambaye alipata kura 84 na Nancy Matta aliyepata kura 55.Akitangaza matokeo Msimamizi wa Uchaguzi Fatuma Ndee ambaye ni Katibu wa Umoja...
11Sep 2022
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
Ludigija ameyazungumza hayo mwishoni mwa wiki wakati wa uzinduzi wa uwanja huo uliofanyiwa ukarabati mkubwa na Kampuni ya Moet Hennessy kwa ushirikiano na NBA Afrika.Ludigija alisema Wilaya ya Ilala...

Pages