NIPASHE JUMAPILI

11Sep 2022
Marco Maduhu
Nipashe Jumapili
Wamedai kuwa tatizo hilo limekuwa likiwakabili hasa kwenye kipindi cha msimu wa mvua, kuwa barabara hua hazipitiki kwenda kufuata huduma ya afya makao makuu ya Kata umbari wa zaidi ya kilomita tano,...
11Sep 2022
Pendo Thomas
Nipashe Jumapili
Wakati wa uteketezaji wa bidhaa hizo juzi, Ofisa Mdhibiti Ubora wa TBS Kanda ya Ziwa,  Arnold Kubigwa, alisema zilikamatwa sokoni wakati wa ukaguzi wao.Alisema wananchi wanapaswa kukagua bidhaa...
11Sep 2022
Nipashe Jumapili
Bendera zilishushwa katika kumuombolezea Malkia, Elizabeth na ilipandishwa juu baada ya hafla hiyo kumalizika.Hafla ya utanganzaji wa mfalme huyo mpya ilipeperushwa moja kwa moja kwenye televisheni...

Wiliam Mkonda.

11Sep 2022
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Usiku wa kuamkia Septemba 6 mwaka huu, kundi la vijana takriban 30 wahalifu wa mitaani, maarufu panya road lilivamia nyumba 15 na kujeruhi watu wanne na kupora fedha na mali katika mtaa huo tajwa....
11Sep 2022
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Usiku wa kuamkia Septemba 6 mwaka huu, kundi la vijana takriban 30 wahalifu wa mitaani, maarufu panya road lilivamia nyumba 15 na kujeruhi watu wanne na kupora fedha na mali katika mtaa huo tajwa....

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia, Nape Nnauye.

11Sep 2022
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Wito huo ulitolewa jana  Dar es Salaam kwa niaba ya wanahabari na Wakili wa Kujitegemea, James Marenga, wakati akizungumza na vyombo vya habari.Wakili Marenga aliyasema hayo ikiwa ni siku moja...

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) wa zamani, Prof. Mussa Assad.

11Sep 2022
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Akizungumza katika kipindi cha Jahazi kinachorushwa na Kituo cha Redio cha Clouds juzi jioni, Prof. Assad alisema katika kufanya uamuzi wowote, kunakuwa na mambo mawili muhimu - moja kutazama faida...
04Sep 2022
Neema Hussein
Nipashe Jumapili
Hayo yamesemwa na Wakili na Mwandishi Mwandamizi Mary Mwita katika mafunzo ya kuwajengea uwezo waandishi wa habari wanawake kutoka mikoa 24 Tanzania yaliyofanyika Jijini Dodoma.Mary amesema habari...
04Sep 2022
Vitus Audax
Nipashe Jumapili
Mtu huyo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25 hadi 35 aliokotwa hapo, huku pembeni yake kukiwa na chupa yenye pombe.Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia leo na kuthibitishwa na wenyeviti wa mitaa...

Rais Samia Suluhu (alieketi) akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi akifafanua kuhusu mchango wa benki hiyo katika kuunga mkono jitihada za serikali katika kujenga mfumo jumuishi wa fedha (Financial Inclusion) na kusogeza huduma karibu zaidi na wananchi wakati wakati hafla fupi ya uzinduzi wa ofisi ya Saccos ya Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja iliyoambatana upokeaji wa samani mbalimbali zilizotolewa na Benki ya NBC kwa kwa ajili ya saccos hiyo mwishoni mwa wiki.

04Sep 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akizungumza wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa jengo la ofisi ya SACCOS ya Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar iliyoenda sambamba na upokeaji wa samani mbalimbali zilizotolewa na...

Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP-David Misime.

04Sep 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akitoa taarifa hiyo Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP-David Misime, amesema uzinduzi wa kampeni hiyo utafanyika Septemba 05, 2022 katika viwanja vya...
04Sep 2022
Neema Hussein
Nipashe Jumapili
Akizungumza katika kikao cha pili cha kuwasilisha rasimu ya mpango mkakati wa matumizi bora ya ardhi kilichofanyika eneo la Msaginya halmashauri ya Nsimbo Mkurugenzi Msaidizi wa Usimamizi wa Mipango...
04Sep 2022
Anjela Mhando
Nipashe Jumapili
Waziri Ndaki ametoa kauli hiyo alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya ufunguzi wa shamba la wazazi wa kuku lililopo eneo la la West Kilimanjaro mradi ambao ni wakwanza kwenye ukanda wa Africa...
04Sep 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Taarifa hiyo imethibitishwa na Mkuu wa Wilaya ya Singida Eng. Paskasi Muragili, ambapo amesema chanzo cha moto huo ni kuwa kuna kijana alikuwa anafanya welding (kuchomelea) kwenye kibanda chake na...
04Sep 2022
Gideon Mwakanosya
Nipashe Jumapili
Akizungumza baada ya kukagua mradi huo jana, Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Laban Thomas, alisema ameridhishwa na utekelezaji wa mradi huo, shule hiyo ikitarajiwa kuanza kudahili wanafunzi ...
04Sep 2022
Marco Maduhu
Nipashe Jumapili
Kampeni ya utoaji chanjo hiyo kwa watoto walio na umri  wa chini ya miaka mitano ilianza kutolewa Septemba Mosi  mwaka huu kwa nchi nzima na inatarajiwa kuhitimishwa leo na Mkoa wa...
04Sep 2022
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Chalamila alibainisha hayo jana baada ya Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Kanali mstaafu Abdulrahman Kinana, kutaka serikali kutafakari upya suala la utoaji wa leseni za biashara...

Askofu wa Kanisa la Anglikana Tanzania (ACT) Dayosisi ya Mpwapwa mkoani Dodoma, George Chiteto.

04Sep 2022
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Chiteto (59) ambaye Jumapili iliyopita aliwekwa wakfu kuwa Askofu wa Tatu wa Dayosisi ya Mpwapwa, alipatwa na mauti jana baada ya kumaliza mahubiri ya  mazishi katika ibada ya mazishi ya...

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge la Hesabu za Serikali (PAC),Naghenjwa Kaboyoka (kushoto) akizungumza na Wajumbe wa Kamati hiyo pamoja na Viongozi wa OSHA wakati mafunzo ya usalama na afya yaliyotolewa na OSHA kwa Kamati hiyo ambayo yalienda sambamba na zoezi la ukaguzi wa jengo jipya la Ofisi za OSHA jijini Dodoma. Aliokaa nao meza kuu ni Mwenyekiti wa Bodi ya Usimamizi ya OSHA, Dk. Adelhelm Meru na Mtendaji Mkuu wa OSHA,Khadija Mwenda.

04Sep 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Agizo hilo limetolewa na Mwenyekiti Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Naghenjwa Kaboyoka, alipozungumza baada ya kuhitimishwa kwa mafunzo ya usalama na afya pamoja na zoezi la upimaji afya...
28Aug 2022
Neema Hussein
Nipashe Jumapili
Hayo yamesemwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Mpanda Sadick Kadulo, katika semina ya kuwajengea uwezo wenyeviti na makatibu wapya wa chama ngazi ya kata na kuwafanya wawe viongozi bora.Kadulo amesema,...

Pages