NIPASHE JUMAPILI

23Oct 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ghala hilo linalomilikiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Tanga, lilikuwa na vitu mbalimbali yakiwemo mabalo ya vitenge 370, sukari, mchele, mafuta ya kupikia na pikipiki vilivyokamatwa...

Mgeni rasmi katika mahafali ya 24 katika shule ya Sekondari Mahida Wilayani Rombo Mkoa wa Kilimanjaro Wakili Anthony Mseke akizungumza na wazazi na wanafunzi (hawapo pichani) katika mahafali iliyofanyika shuleni hapo.

23Oct 2022
Anjela Mhando
Nipashe Jumapili
Mdau huyo amechangia fedha hizo leo kwa kukabidhi hundi ya Sh. milioni tatu na nusu huku akieleza laki tano inafuata siku chache zijazo katika mahafali ya 24 ya kidato cha nne iliyofanyika katika...

Mkurugenzi wa Hospitali Maalumu ya Magonjwa ambukizi Kibong'oto Dk. Leornad Subi akifanya uzinduzi wa zoezi la upimaji wa magonjwa ambukizi kwa watumishi wa hospitali hiyo. PICHA: Anjela Mhando

23Oct 2022
Anjela Mhando
Nipashe Jumapili
-wakiwa kazini na zoezi hilo litafanyika kwa siku tano.Vipimo vingine vitakuwa ni pamoja na magonjwa ya kifua kikuu, Ukimwi, sukari, shinikizo la damu, saratani ya shingo ya kizazi na tezi dume,...
23Oct 2022
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Mkuu wa Polisi Wilaya ya Ikungi, Suzana Kidiku alibainisha hayo jana wakati Shirika la Empower Society Transform Lives (ESTL) linalojihusisha na masuala ya kupinga ukatili wa kijinsia, lilipozindua...

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Changolo.

23Oct 2022
Maulid Mmbaga
Nipashe Jumapili
Akizungumza jana alipozindua ofisi ya chama Wilaya ya Kigamboni na nyumba ya Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Chongolo alisema chama hicho kina watu wazuri, bora na wenye nia njema, lakini tatizo...

Katibu Mkuu wa chama cha CHADEMA, John Mnyika.

23Oct 2022
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Hatua hiyo imekuja ikiwa ni siku moja baada ya kikosi kazi kukabidhi ripoti yenye mapendekezo 18 kwa Rais Samia Suluhu Hassan.Akizungumza jana mkoani Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa chama hicho, John...
23Oct 2022
Godfrey Mushi
Nipashe Jumapili
Tukio la moto kama huo lilitokea Oktoba 11, 2020 katika eneo la Whona, ambacho ni kituo cha kupumzikia wageni wanaotumia njia ya Mandara na Horombo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Shirika...
23Oct 2022
Sanula Athanas
Nipashe Jumapili
Madaktari bingwa, wanasaikolojia wafichua yaliyo nyuma ya pazia...
Mahali hapo ni umbali wa Km 33.5 kusini magharibi mwa Mji wa Shinyanga na safari yake kwa gari kutoka mjini inachukua takriban saa moja kutokana na mzunguko mrefu wa kuifuata barabara kuu ya lami ya...
16Oct 2022
Vitus Audax
Nipashe Jumapili
Majaliwa amewataka wakuu wa Wilaya kukaa pamoja na wafanyabiashara na kuwahimiza kushusha bidhaa zote za chakula ususani zinazozalishwa ndani kwani bei za mafuta tayari zimeshuka.Akizungumza mara...
16Oct 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
-Km 30 iliyopo Halmashauri ya Mlimba, mkoani Morogoro.Hayo yamejiri baada ya Kiongozi huyo kufanya ziara ya ukaguzi wa miradi wilayani Kilombero na kubaini mapungufu katika usimamizi wa miradi...

MKUU wa Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani, Khadija Ali.

16Oct 2022
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Alitoa onyo hilo juzi wilayani humo wakati wa uzinduzi wa Kituo cha Mafunzo ya Ufundi cha Reach the Goal kwa ajili ya mabinti waliokatisha masomo kutokana na sababu mbalimbali zikiwamo mimba na ndoa...

KATIBU wa Itikadi na Uenezi  wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamdu Shaka.

16Oct 2022
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
KATIBU wa Itikadi na Uenezi  wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamdu Shaka amesema kutokana na kasi ya kutekeleza miradi ya maendeleo nchini, Rais Samia Suluhu Hassan ni 'pumzi mpya kwa...
16Oct 2022
Marco Maduhu
Nipashe Jumapili
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Jasinta Mboneko aliwakabidhi jukumu hilo juzi wakati wa kusimikwa viongozi wapya sita wa Jeshi la Jadi (Sungusungu) Tarafa ya Shinyanga Mjini.Alisema wanafunzi...
16Oct 2022
Daniel Limbe
Nipashe Jumapili
Kauli hiyo aliitoa jana kwa nyakati tofauti wakati akizungumza na baadhi ya wananchi wa Wilaya ya Chato muda mfupi baada ya kutembelea Hospitali ya Rufani ya Kanda Chato na baadaye Katoro wilayani...
16Oct 2022
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Ni chanzo figo kuharibika, fizi kuwa za buluu
Mratibu wa Kituo cha Taifa cha Kudhibiti Matukio ya Sumu, Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), Yohana Goshashy, katika mazungumzo mahsusi na Nipashe mjini hapa jana, alieleza kwa...
09Oct 2022
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
Akizungumza jijini Dar es Salaam kwenye mahadhimisho ya siku ya Posta Duniani, Mkurugenzi Msaidizi wa kitengo cha Usalama Mtandaoni kutoka Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...

Mkurugenzi Mtendaji wa NBAA, CPA, Pius Maneno.

09Oct 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Maonyesho hayo ya siku tatu yatakayofanyika Novemba 10 hadi 12 kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam yatahudhuriwa na mashirika na taasisi mbalimbali za uhasibu na ukaguzi.Hayo...

Katibu wa itikadi siasa na uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Siha Mkoa wa Kilimanjaro Emanuel Mushali. PICHA: ANJELA MHANDO

09Oct 2022
Anjela Mhando
Nipashe Jumapili
-kipindi cha uchaguzi na kusimama pamoja kukijenga chama na kuchapa kazi ya kusimamia ilani ya chama hicho.Mushali ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na Nipashe Digital katika ofisi za Chama cha...
09Oct 2022
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Wiki iliyopita nilieleza jinsi mama alivyopambana kwa kufanya kazi mbalimbali kama kufua nguo za watu, kuuza mbogamboga ili mradi ale na kumsomesha binti yake. Alijitahidi hata akamaliza darasa la...
09Oct 2022
Beatrice Moses
Nipashe Jumapili
Akizungumza na waandishi wa habari jana mkoani Dar es Salaam, Mtendaji Mkuu wa AMDT, Charles Ogutu, alisema fedha hizo zitatolewa kama ruzuku kwa taasisi za serikali na mashirika wabia ambao...

Pages