NIPASHE JUMAPILI

19Jun 2022
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
Awali zaidi ya Shilingi bilioni 20 zilikuwa zitumike kuwalipa fidia kabla ya kubainika udanganyifu wao.Akizungumza mwishoni mwa wiki, Mthamini wa Serikali, Rashid Mageta, alieleza kuwa watu hao...

Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu.

19Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Rai hiyo ilitolewa jana na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, alipokwenda sokoni huko na kufanya kikao na wafanyabiashara wa soko hilo."Nimeambiwa serikali inataka kuvunja soko hili na...
19Jun 2022
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Jerry Muro, ambaye alifika katika kijiji hicho haraka baada ya kupewa taarifa, alisema tukio hilo limetokea jana majira ya saa tatu asubuhi baada ya tembo watatu kuvamia...

​​​​​​​Khamis Hamza Khamis.

19Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Khamis Hamza Khamis alitoa rai hiyo jana alipofanya ziara ya kikazi ya kujionea uzingatiaji wa sheria ya mazingira katika kiwanda cha kuzalisha mafuta ya alizeti cha Pyxus kilichoko eneo la Kizota...

MWENYEKITI wa Chama Taifa, ACT Wazalendo, Juma Duni Haji.

19Jun 2022
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Kigogo huyo wa ACT Wazalendo aliweka wazi mambo hayo jana katika Kongamano la Tatu la Tume Huru ya Uchaguzi lililofanyika wilayani Songea mkoani Ruvuma.Katika kongamano hilo, Duni alisema tangu...
19Jun 2022
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Baada ya mgawanyo huo, Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo ilipata mgawo wa vyumba saba vya kupangisha vilivyoko Oysterbay Villa, Mitaa ya Mawenzi na Ruvu.Hata hivyo, imebainika kuwa tangu kufanyika...
19Jun 2022
Frank Monyo
Nipashe Jumapili
Akifungua Mkutano wa tano wa Jukwaa la Taifa la Wadau wa Sekta Mtambuka katika Usimamizi wa Rasilimali za Maji katika Ukumbi wa Mikutano wa Benki Kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam jana.Aweso...

Mkuu wa Kitivo cha Tiba cha Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU), Profesa Mbembati Naboth, akimkabidhi cheti mmoja wa wanafunzi wa chuo hicho waliowasilisha mada nzuri kwenye mkongamano la kisayansi lililofanyika chuoni hapo mwishoni mwa wiki. Kushoto ni profesa Columba Mbekenga na kulia ni Rais wa Serikali ya Wanafunzi Nimrodi Matungwa.

12Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ombi hilo lilitolewa mwishoni mwa wiki na Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa chuo hicho, Nimrodi Matungwa, wakati akizungumza kwenye hafla ya kufunga kongamano la sita la kisayansi la siku...
12Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Jumla ya hati miliki za kimila 100 zikiwemo 26 zinazomilikiwa kwa pamoja kati ya mume na mke zimetolewa kwa jamii hiyo ikiwa ni hatua kubwa kutokana na jamii hiyo kujishughulisha zaidi na uwindaji,...
12Jun 2022
Nebart Msokwa
Nipashe Jumapili
Alitoa maagizo hayo jana alipozungumza kwa njia ya simu na wananchi wa Mkoa wa Mbeya baada ya kumpigia Mkuu wa Mkoa huo wakati wa hafla maalumu ya kuipongeza serikali kwa utekelezaji wa miradi ndani...

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Saimon Sirro.

12Jun 2022
Francis Godwin
Nipashe Jumapili
"Hataruhusiwa kuchukua gari lake polisi hadi atakapopatikana ili atueleze aliruhusu vipi gari lake kufanya kazi ya kubeba abiria bila kuwa na kitabu cha tiketi," aliagiza. IGP Sirro pia...
12Jun 2022
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella, alitoa taarifa hiyo jana wakati akizungumza na waandishi wa habari kuelezea kinachondelea Loliondo katika utekelezaji wa kuweka mipaka kwenye eneo hilo."...

Rais Samia Suluhu Hassan, akishuhudia utiaji saini wa makubaliano ya awali ya mkataba wa nchi hodhi (HGA) wa mradi wa kuchakata na kusindika gesi asili, Ikulu ya Chamwino, mkoani Dodoma jana. Wanaosaini ni kati ya Waziri wa Nishati, Januari Mkamba (wa pili kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC), Dk. James Mtaragio na Makamu wa Rais na Mwenyekiti wa Tanzania Equinor AS, Unni Merethe (kulia) na Makamu Rais wa kampuni ya Shell Exploration, Jared Kuehl. PICHA: IBRAHIM JOSEPH

12Jun 2022
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Vilevile, mradi huo unatarajiwa kutoa ajira 10,000 kwa kipindi cha ujenzi na baadaye za kudumu 500 na ndiyo sababu ya uamuzi wa serikali wa kuanzishwa kanda maalum ya kiuchumi kwa ajili ya uwekezaji...

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Zubeir Ali Maulid akizungumza na wajumbe wa Baraza hilo pamoja na wageni waalikwa wakati akizunduza semina ya siku moja kwawawakilishi hao iliyoendeshwa na Shirika la Bima Zanzibar (ZIC) kwa kushirikiana na wadau wengine visiwani humo ikilenga kuwajenga uelewa wajumbe hao kuelekea uanzishwaji wa huduma mpya ya Bima ya Kiislamu ‘Takaful’. Wanaomsikiliza ni pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango –Zanzibar ,Dkt Saada Mkuya (wa tatu kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bima Zanzibar(ZIC) Bw Arafat Haji (Kushoto) na wadau wengine.

05Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mafunzo hayo ya siku moja yaliyofanyika eneo Chukwani nje kidogo ya jiji la zanzibar, yalitanguliwa na mafunzo ya siku moja kwa mawakala wa bima visiwani humo yaliyofanyika visiwani Pemba huku lengo...

Makamu mkuu wa chuo cha Kilimo na Mifugo Kaole Wazazi kilichopo Bagamoyo mkoani Pwani Maximillian Sarakikya (wa tatu kulia) akiwaeleza kitu baadhi ya wafanyakazi kampuni ya bia ya Serengeti waliotembelea chuo hicho mwishoni mwa wiki. Wengine katika picha ni wanafunzi wa chuo hicho ambao ni wanufaika na programu ya ufadhili wa masomo inayojulikana kama Kilimo Viwanda.

05Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akiongea jana wakati wa kukabidhi vyeti hivyo katika chuo cha Kilimo na Mifugo Kaole, chini ya programu ya Kilimo Viwanda,  Mkurugenzi wa Mahusiano kwa Umma wa SBL, John Wanyancha alisema, SBL...
05Jun 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akizungumza leo Jumapili Juni 5, 2022 Ofisa Uhusiano wa chuo hicho, Beatrece Baltazar, amewataja waliofariki kuwa ni Hana Meshack, Zira Mpenda, Mpeli Mahenge na waliojeruhiwa ni Fortunata Kingazi,...

Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Kilimo na Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi Kilele ya Kilimo cha Maua, Mboga, Matunda, Viungo na Mazao yatokanayo na Mizizi (TAHA), Dk. Jacquiline Mkindi (aliyevaa koti jeusi) akikagua jana baadhi ya biadhaa zilizozalishwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi, alipokwenda kufungua tamasha la ubunifu na vipaji .PICHA: GODFREY MUSHI

05Jun 2022
Godfrey Mushi
Nipashe Jumapili
Dk. Mkindi ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi Kilele ya Kilimo cha Maua, Mboga, Matunda, Viungo na Mazao yatokanayo na Mizizi (TAHA), kila mwaka vyuo vyote vya kati na vile vya elimu ya juu...

Ofisa Mazingira wa Baraza la Taifa la Usimamizi na Uhifadhi wa Mazingira, Kanda ya Kaskazini (NEMC), Albert Loti, akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Longoi, Kata ya Weruweru,Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro jana, kuhusu kampeni ya upandaji miti kukizunguka Kituo cha Afya Longoi kinachotishiwa na ukame.Kampeni hiyo inaendeshwa na Shirika la VOEWOF. PICHA: GODFREY MUSHI

05Jun 2022
Godfrey Mushi
Nipashe Jumapili
Akizungumza jana katika kampeni ya upandaji miti kwenye Kituo cha Afya Longoi, kilichopo Kata ya Weruweru, Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, Edmund Rutaraka, alisema uamuzi wa kuwabana wanaoharibu...
05Jun 2022
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Mathalani, mara kadhaa na hata wiki iliyopita, wamesema watawashughulikia ipasavyo wenye nyumba za ibada, kumbi za starehe na wengine ambao wamegeuka kuwa kero kwa wananchi kwa kuwa wanaendesha...
05Jun 2022
Jenifer Gilla
Nipashe Jumapili
Alisema hayo jana jijini Dar es Salaam wakati baraza hilo liliposhirikiana na wadau wa mazingira na Manispaa ya Kinondoni kufanya usafi katika fukwe za Rainbow katika kuadhimisha Siku ya Mazingira...

Pages