NIPASHE JUMAPILI
06Feb 2022
Moshi Lusonzo
Nipashe Jumapili
Vitendo hivyo vimefichuliwa juzi na viongozi wa Jumuiya ya Wazazi Kata ya Kijichi waliotembelea shule hizo kwa ajili ya kutoa misaada kwa wanafunzi wanaoishi katika mazingira magumu katika...
06Feb 2022
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ibara ya 14 ya Katiba hiyo inatamka: "Kila mtu anayo haki ya kuishi na kupata kutoka kwa jamii hifadhi ya maisha yake, kwa mujibu wa sheria."Vilevile, kwenye Ibara ya 15 ya Katiba hiyo...
06Feb 2022
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Machi 18, 2019, aliyekuwa Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Maalim Seif Shariff Hamad, alitangaza operesheni hii akiwataka wanaomuunga mkono katika mapambano ya kupigania haki kujiunga na ACT-Wazalendo....
06Feb 2022
Renatha Msungu
Nipashe Jumapili
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Onesmo Lyanga alithibitisha kutokea kwa tukio hilo jana wilayani humo, akisema mwalimu huyo aliuawa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani huku Jeshi hilo likimtafuta...
06Feb 2022
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Rais Samia alitoa onyo hilo jana mjini Musoma mkoani Mara wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 45 tangu kuzaliwa kwa chama hicho, akisema sherehe hizo kwa kila mwaka zitakuwa zinaadhimishwa...
30Jan 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Masauni amezungumza hayo leo jijini Dar es Salaam, katika Kikao na Mwakilishi Mkazi mpya wa Shirikika hilo Nchini, Mahoua Bamba Parums, ambaye alifika ofisini kwa Waziri huyo kwa lengo la...
30Jan 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Hayo yamezungumzwa kwenye kikao cha Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga na wadau kutoka katika taasisi mbalimbali ambacho kililenga kufanya tathmini ya vitendo vya ukatili kilichoandaliwa na Jeshi la...
30Jan 2022
Gwamaka Alipipi
Nipashe Jumapili
Akizungumza na waandishi wa habari, kiongozi wa utafiti huo kutoka STIPRO, Dk. Dennis Mwigusa, alisema utafiti huo ulifanyika mwaka jana na kuonyesha kwamba asilimia 48.8 ya wafanyabiashara wanawake...
30Jan 2022
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Viongozi hao walikutana mkoani Dar es Salaam, kwa ajili ya tukio hilo na Rais Samia alipiga simu ili kuwashukuru kwa jambo hilo jema kwenye maisha yake.Pamoja na mambo mengine, viongozi hao walitoa...
30Jan 2022
Maulid Mmbaga
Nipashe Jumapili
Amesema ACT-Wazalendo kimefuata misingi na taratibu sahihi za demokrasia kwa kuandaa mfumo mzuri wa kuwapata viongozi ili kujaza nafasi zilizoachwa wazi ndani ya chama hicho.Aliyasema hayo jana...
30Jan 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Amesema kwa wanafunzi watakaokamatwa adhabu watakayopewa wazazi ni kudeki vyoo vya walimu.Mtaka aliyasema hayo alipokuwa akizungumza na wazazi, walimu na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Zuzu ambayo...
30Jan 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Waziri Masauni amesema katika kikao hicho pia watajadili jinsi ya kulifanya Jeshi la Polisi kuwa la kisasa katika kudhibiti matukio mbalimbali kiuhalifu nchini. Akizungumza katika ziara yake ya siku...
23Jan 2022
Elizaberth Zaya
Nipashe Jumapili
Wakizungumza mbele ya Maofisa wa TASAF waliowatembelea, wazee hao walisema baada ya kutelekezewa wajuu waliishi katika maisha magumu ya kuwalea, lakini kwa msaada wa mpango huo, imekuwa rahisi...
23Jan 2022
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Taarifa zilizotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Onesmo Lyanga, akati akithibitisha kuwepo kwa tukio hilo zinasema, watu hao wameuawa kwa kupigwa na kitu kibutu katika sehemu mbalimbali za...
23Jan 2022
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Waziri Ummy alitoa agizo hilo jana mkoani Dar es Salaam, alipotembelea MSD na kuzungumza na menejimenti kuhusu changamoto za upatikanaji wa dawa nchini.Alisema amepata changamoto hizo kutoka kwa...
23Jan 2022
Gwamaka Alipipi
Nipashe Jumapili
Akizungumza wakati wa usafirishaji wa zao hilo jijini Dar es Salaam, Naibu Waziri wa Kilimo, Anthony Mavunde, alisema serikali imeanza kutekeleza agizo la Rais Samia Suluhu Hassan kuhakikisha...
23Jan 2022
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Meneja huyo alishindwa kusimamia miradi ya ujenzi wa barabara mkoani Ruvuma mwaka 2020.Bashungwa alitoa maelekezo hayo jana wakati akikagua ujenzi wa Daraja la Ruhuji lenye urefu wa mita 22 na upana...
23Jan 2022
Gideon Mwakanosya
Nipashe Jumapili
Kutokana na mauaji hayo, Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linamsaka mtu mmoja aliyetajwa kwa jina la Kamongo, fundi seremala, mkazi wa mtaa wa Namanditi katika Manispaa ya Songea. Kaimu Kamanda wa...
23Jan 2022
Mary Mosha
Nipashe Jumapili
Alikuwa akitoa taarifa ya hali ya mkoa huo jana kwa Rais Samia Suluhu Hassan, aliyekwenda mkoani hapo kuzindua Tamasha la Utamaduni wa Kilimanjaro.“Mheshimiwa Rais, Mkoa wa Kilimanjaro...
23Jan 2022
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Inadaiwa kuwa mwili wa mtoto huyo ulifukuliwa kwa kile kilichoelezwa ni kutokana na imani za kishirikina.Mtoto huyo alikuwa amezikwa kwenye makaburi ya Kipondoda yaliyoko kitongoji cha Kipindoda,...
